Mwafrikamtanzania
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 387
- 421
Kwa mtindo huu timu za Tz zitabadili sana makocha. Kufungwa ni sehemu ya mchezo hata timu ifungwe mara tatu. Tujifunze kwa nchi zilizoendeleaKiukwel Gamondi must go maana mbinu zake zishachuja na Hana mbadala wapinzani washamsoma muda Mrefu....
Matokeo yake ya mbinu zake kuwa hafifu tunauwona sasa ushindi mwembamba katika mechi za Yanga hadi kufikia sasa anapoteza mechi mbili mfululizo tena hii Tabora Kwa idadi kubwa ya magoli
Hatuzungumzii kufungwa Bali tunazingumzia kiwango Cha timu!Kwa mtindo huu timu za Tz zitabadili sana makocha. Kufungwa ni sehemu ya mchezo hata timu ifungwe mara tatu. Tujifunze kwa nchi zilizoendelea
Tigha bhatemweeeeee!Back Pass Back Pass, pass pass pass pass pass pass pass pass pass turnover kaba back Pass Back Pass pass pass turnover turnover repeat again Zero Attempt no cross.
Unataka kuwa Barcelona.
Hairs Ile Barca ya mapass kibwens ilifeli sana after UCL ya 2011.
Timu inapaswa kupiga straight football more shorts on Target
Sio pass kibwena attempts sifuri.
How. Comes mabeki wanaucheza sana mpira kuliko viungo na washambuliaji.
Viungo wa Yanga wanajua kurudisha mipira nyuma tu sio kupeleka mbele.
Soon mtavurugana
Kufungwa kunaambatana na makosa kama hayo unayoyaona. Timu ina kiwango kizuri tu. Haimaanishi makosa hayo ni permanent.Hatuzungumzii kufungwa Bali tunazingumzia kiwango Cha timu!
Kwahiyo wewe unavyoona Kwa Uchezaji huu wa Yanga wako sahihi?,Kuna muda unafungwa na unaona timu imecheza na kutengeneza nafasi,lakini Yanga ya Sasa hilo halipo,hata wakishinda ni papatu papatu tu!
Yaan hapo Kuanzia kocha Gamondi anajiona star,Hersi anajiona star ,Chama,Azizi K, Pacome wote ma starMliona raha sana kujaza ma-star wenye majina makubwa makubwa kwenye timu yenu, sasa nidhamu imeshuka, Kila mmoja anajiona kambale hivyo timu inacheza bila muunganiko.timu inacheza kwa Kila mchezaji kuonesha uwezo wake binafsi. Kukusanya mastaa na wakacheza kitimu inahitaji akili kubwa sana, wengi waliojaribu kufanya hivyo hawakubaki salama
#Yanga Nguvu MojaNakuunga mkono
Hatarii ni vilio na vikao Salamanda, Gamondi upala unafuka moshi.🤣🤣Kuumekuchaaaa kumekuchaaa
Nyuki hakumbatiwi 😂😂Haya ngoja wenye Yanga wenzio waje.
Sisi simba tunaangalia tuu.
Shida Yao iko hapo Wala wasitafute mchawiYaan hapo Kuanzia kocha Gamondi anajiona star,Hersi anajiona star ,Chama,Azizi K, Pacome wote ma star