M Mr. Sound JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 2,227 Reaction score 4,773 Nov 8, 2024 #41 Half american said: Tuachieni yanga yetu, ni mapema sana kuanza kumnanga kocha. Yanga bingwa Click to expand... Upo sahih mkuu, Gamondi huyu huyu alotupa raha kupita kiasi msimu jana, leo kaishiwa mbinu? Kwa hiyo pep, arteta na don carlo wanavyopoteza michezo kwa sasa wameishiwa mbinu. Dah! Mashabiki wa kibongo wamejawa mihemko sana.
Half american said: Tuachieni yanga yetu, ni mapema sana kuanza kumnanga kocha. Yanga bingwa Click to expand... Upo sahih mkuu, Gamondi huyu huyu alotupa raha kupita kiasi msimu jana, leo kaishiwa mbinu? Kwa hiyo pep, arteta na don carlo wanavyopoteza michezo kwa sasa wameishiwa mbinu. Dah! Mashabiki wa kibongo wamejawa mihemko sana.
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Nov 8, 2024 #42 Mr. Sound said: Upo sahih mkuu, Gamondi huyu huyu alotupa raha kupita kiasi msimu jana, leo kaishiwa mbinu? Kwa hiyo pep, arteta na don carlo wanavyopoteza michezo kwa sasa wameishiwa mbinu. Dah! Mashabiki wa kibongo wamejawa mihemko sana. Click to expand... Hatuna subira tunataka matokeo mazuri tu bila kujali mchakato wa kuyapata. Wanajua fika kilichoigharimu timu ni kipi lakini wanakaza kichwa kumlaumu gamondi, au gamondi ndio alimwambia bacca atafute redcard?
Mr. Sound said: Upo sahih mkuu, Gamondi huyu huyu alotupa raha kupita kiasi msimu jana, leo kaishiwa mbinu? Kwa hiyo pep, arteta na don carlo wanavyopoteza michezo kwa sasa wameishiwa mbinu. Dah! Mashabiki wa kibongo wamejawa mihemko sana. Click to expand... Hatuna subira tunataka matokeo mazuri tu bila kujali mchakato wa kuyapata. Wanajua fika kilichoigharimu timu ni kipi lakini wanakaza kichwa kumlaumu gamondi, au gamondi ndio alimwambia bacca atafute redcard?
MwananchiOG JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 1,970 Reaction score 4,037 Nov 15, 2024 #43 Hatimaye Umesikilizwa
Simpleboylife JF-Expert Member Joined May 20, 2021 Posts 634 Reaction score 1,247 Nov 15, 2024 #44 TAARIFA KWA UMMA
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Nov 15, 2024 #45 Tayari huko Gamondi amebaki kuwa Mondi.