Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wengi ni waoga, hawapendi kutoka katika ile comfort zone wanayoishi. Ni uoga wa kutotaka kupokea changamoto mpya zenye kuweza kuja kuwasaidia maishani siku za mbeleni.ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Ni mikataba sio mkataba mmoja. Kuna mambo ya TEHAMA yanaingia, kuna mambo ya usafirishaji yanaingia humo.Unaamua kuandika chochote ulicho nacho kichwani!!
Tunataka useme kwenye mkataba na DP, uhai wa mkataba ni miaka mingapi? Mambo gani yatasababisha contract termination prior life of the contract.
Muda wa mkataba unategemeana na miaka ya return of investment ya hela iliyowekezwa.Unaamua kuandika chochote ulicho nacho kichwani!!
Tunataka useme kwenye mkataba na DP, uhai wa mkataba ni miaka mingapi? Mambo gani yatasababisha contract termination prior life of the contract.
Inaonrkana uelewa wako ni mdogo sana kwenye mikataba.Ni mikataba sio mkataba mmoja. Kuna mambo ya TEHAMA yanaingia, kuna mambo ya usafirishaji yanaingia humo.
Sio mkataba mmoja kama unavyojaribu kuwalisha watu matango pori humu JF. Bungeni lilikwenda azimio la mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na Dubai na baada ya hapo ndio wadau kwa kina wanajadiliana kifungu kwa kifungu kadri ya maslahi mapana ya nchi yanavyotakiwa kulindwa.
Mtoa mada unatakiwa ujadili kilichoonekana kwenye mkataba na sio kuongeza nadharia ambazo hatujui hata kama zitafanywa hivyo unavyohisi. Umeulizwa muda wa mkataba ni kiasi gani wewe unakwepa swali la msingi kwa kuweka maneno mengine.Sasa sio lazima wachukue maximu kila mwaka; serikali inaweza amua kuchukua asilimia kadhaa katika maeneo yao wanayoaendesha na kufanya muda wao wa kurudisha hiyo hela uwe mrefu.
Penye maslahi ndio fitina inakuwepo. Hao waheshimiwa wasiotajika majina yao ni sehemu tu ya wanaoumia kuona SSH na serikali yake wanaokwenda kufanikisha hizi biashara haswa kwa maana ya kushikilia soko lote la upande la DRC, Rwanda na Tanzania.Inaonrkana uelewa wako ni mdogo sana kwenye mikataba.
Uliopelekwa bungeni, kwa Kiswahili ungeweza kuuita ni Mkataba mkuu au mkataba kiongozi. Hiyo mingine yote ni mikataba midogo ya utekelezaji. Lakini mkataba mkuu utakaoongoza kila kitu ni huu uliopelekwa bungeni. Hakuna mkataba mwingine wowote utakaopelekwa bungeni zaidi ya huu uliosainiwa Octobwr 2022.
Usituone wajinga,wengine hapa tuna taarifa za ndani kabisa kuhusiana na huu mkataba, kutoka kwa watu walio kwenye nafasi nyeti huko huko Serikalini lakini ambao hawawezi kusimama na kutamka yaliyo ya hovyo kwenye huo mkataba, kwa sababu ya viapo vyao.
Ndio shida ilipo mmeshaelezwa zaidi ya mara mia na serikali ule sio mkataba bali ni framework ya kutengenezea HGA (mikataba ya utekelezaji, ambayo bado kwa sasa) lakini mmkedhana ni ule ndio mkataba.Mtoa mada unatakiwa ujadili kilichoonekana kwenye mkataba na sio kuongeza nadharia ambazo hatujui hata kama zitafanywa hivyo unavyohisi. Umeulizwa muda wa mkataba ni kiasi gani wewe unakwepa swali la msingi kwa kuweka maneno mengine.
Hata we ni chawa TU tunshindwa kuendesha bandari yetu wenyewe mpaka pia nayo tusaidiwe ipo siku tutasaidiwa mpaka na wake zetu hii nchi bora uhai TU maanake na chawa NAO mnazidi kuongezeka Kwa Kasi ya 5g daah🤔Jibu hoja issue umesoma mkataba,Halima Mdee bungeni alishindwa kutetea hoja hajasoma vifungu
Wacha kutudharau watanzania. Tunaelewa kila kitu!ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Watu wabishi sana mkuuNdio shida ilipo mmeshaelezwa zaidi ya mara mia na serikali ule sio mkataba bali ni framework ya kutengenezea HGA (mikataba ya utekelezaji, ambayo bado kwa sasa) lakini mmkedhana ni ule ndio mkataba.
Huko kwenye HGA ndio kutakuwa kuna maswala ya muda na principally inaamuliwa kwa miaka ya ROI + faida za mwekezaji.
Kenya ndio taifa lenye kiongozi anayejitambua.Hata hawa pia?
Kenya imekanusha ahadi za zabuni ya Julai iliyotolewa kwa Dubai Port (DP) World ambayo ingeruhusu kampuni hiyo yenye makao yake makuu katika UAE kutoa zabuni ya maendeleo, uendeshaji na usimamizi wa bandari nne za nchi hiyo.
DP World ilisema serikali ya Kenya iliahidi kutoa ombi la pendekezo la kibiashara la mikataba ya bandari kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Agosti 9.
Kenya ilikuwa imekubali kutoa upendeleo kwa DP World, inayomilikiwa na serikali ya Dubai na mojawapo ya waendeshaji wakubwa wa bandari duniani, katika makubaliano yaliyotiwa wino kati ya Mataifa hayo mawili.
Hazina imekanusha kuwepo kwa mpango huo na kukanusha kuwahi kutaja mipango ya kutoa zabuni ifikapo Julai.View attachment 2649714
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ww una jua kuliko pro. Shivj na Manguli wa sheria walio kosoa mkataba huu...ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Umesoma uchambuzi wa Tanganyika Law Society?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Kule kuwaalika wadau kwenda Dodoma kutoa maoni juu ya makubaliano yenu na DP; ndani ya massa 24, nako tatizo ni lugha? Kulikuwa na haraka gani kwenye jambo kubwa kama hili?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Sio lugha tu kuna watu wamechukuwa itikadi zao kisiasa na kushabikia upotoshaji, na wale viongozi ambao wanasugua benchi kama kina Warioba ni watu wanachuki binafsi na wanashindwa ku move on. Mkataba wowote hauwezi kumpa side moja uwezo wa kuvunja tu nani atawekeza?ELimu, Elimu, Elimu ni kitu muhimu sana. Tanzania tuna tatizo kubwa ya lugha ya Kingereza kwa watu wetu. Lugha ya Kiswahili haina maneno na misamiati iliyojitosheleza, hivyo tafsiri toka Kingereza kwenda Kiswahili mara nyingi kumejaa ukanjanja na uwongo.
Tatizo kubwa kubwa ni watu kutafsiri Kingereza kwenye lugha zao mama, halafu baadae kutafasiri kwenda Kiswahili!
Article 23 kati ya Mkataba wa Emirates of Dubai na Serikali ya Tanzania kuhusu usimamiaji na uendeshaji wa bandari unapotoshwa hapa JF.
Article 23 inazungumzia Termination and Duration, hakuna sehemu yeyote inayosema serikali ya Tanzania au Emirates of Dubai hawaruhusiwi kuvunja mkataba. Mkataba utaweza kuvunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili, ndio kilichoandikwa.
Artcle 20 inazungumzia dispute settlement, Mkataba unazungumzia ikitokea kuna kutokuelewana kwenye article 23 basi usuluhishi ufuate Sheria za Kimataifa na mazungumzo yafanywe kwa Kingereza, yafanyike Johanesburg Afrika ya Kusini kwa pande zote kuwa na wawakilishi.
Tuache kupotosha raia kwa mihemko ya kisiasa na wengine kufikia hatua ya kumtukana Rais, tatizo sio Mkataba tatizo ni watu kutokuelewa lugha ya Kingereza.
Nyinyi kwa sababu mwenyekiti wenu lazima apewe kitu mnadhani kila aliyena msimamo tofauti basi kapewa kitu, very low mawazo ya kishamba sana. Sasa na wewe umepewa na nani?Aisee Watanzania aliyeturogaa alituwezaaa,,sijajua kama umepewaa sh ngapii hadii kuandikaa utumbo wako hapaa,watu kama nyiee ni wakukusanyaa na kuwatupaa baharinii mnaojifanyaa kila kitu ni kusifiaa tuu nyiee ni watu wabayaa saana zaidii ya nyokaa,,watu mnaojalii matumbo yenu tyuu shame on you,,,,
Hao baadhi wana maslahi binafsi bandarini