Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Jeshi la anga la Pakistan limefanikiwa kuangusha ndege vita 5 za India aina ya Rafale, zilizotengenezwa nchini Ufaransa wakitumia ndege vita za China J-10C zenye China's radar and missile systems PL-15
Mbona hatujaona hiyo 'dog fight '...?

T14 Armata
 
Wewe unaona hizo picha ni za ndege?

Picha za drop tank kwa ajili ya kuongeza range ya fighter jet. Drop tank inabeba mafuta ya ziada yanatumika kwanza kisha inadondoshwa ndege ikiwa angani.
Ndivyo baadhi ya Wahindi wanasema kwenye mitandao ya kijamii

Mtazoea sasa hivi mko kwenye coping period

Tangu hilo shambulizi sasa hivi jeshi la India liko kimya hatusikii tena zile harakati zao za kushambulia
 
Rafale 6 zimeenda kushambulia pakistani zote zimeangushwa ila zimeangukia india hapa kuna walakinI yani haiaminiki kabisaaa
Ina maaa hakuna hata moja iliyoangukia pakistan? Ina maana ndege za rafale zina uwezo wa kujikongioja na kuchagua pa kuangukia baada ya kupigwa kombora?
 
Unajua kuhusu long range za missiles?​
 
Israel haijakutana na nchi yenye AIDS ya uhakika mara nyingi huwashambulia militias ambao hawana hata hizo AIDS.Siku akikutana na nchi yenye full air defense system hapo ndo tutajua
 
Awafundishe adabu wakati kajificha Klemlin?...watoto wa makapukupu ndio wanasongeshwa mbele.....
Anachukua wafungwa anawapeleka front wakauwawe......Wagner Ndani....mpaka kamuua Prighozin kisa anamdai na hapeleki silaha huku wagner wakifa kama kuku...North ndani๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท na wao wamekaangika vibaya...ndio kufundisha adabu huko...
 
Maana yake zimewahiwa angani zikiwa huko huko kwenye anga la India kabla hazijavuka mpaka kufanya uharibi ndani ya Pakistan.
 
Mkuu huyo ni mtumwa sana wa nchi za magharibi ndio hao hao wako radhi wawe mbwa kuzaliwa ulaya kuliko mtu kuzaliwa Africa! cjui anachobisha ni nini? wakati umempa source
 
Israel sio kwamba hashikiki sema anapigana na sungusungu wanaotegemea kupenyeza kombora mojamoja ambalo unakuta wamelisafirisha kwa njia ya magendo kutoka Iran
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Mpaka sasa hakuna evidence ya Rafale hata moja kuangushwa. Hata moja, wewe unadai sita!

Kama unayo evidence leta hapa unitag
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ BREAKING: PAKISTAN has SHOT DOWN 5 INDIAN jets during India's attack.
 

Attachments

  • IMG_20250509_002057.jpg
    242 KB · Views: 25
Israel haijakutana na nchi yenye AIDS ya uhakika mara nyingi huwashambulia militias ambao hawana hata hizo AIDS.Siku akikutana na nchi yenye full air defense system hapo ndo tutajua
Its naive to argue with kids
 
China anaweza kufika hata generation ya hamsini kwa kumodify rangi na umbo Tu ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ nikiangalia anavyowafanyia mama ntilie na hizi infinix na techno
China ina aina 2 za 6th gen fighter jets mpaka sasa. Tuambie Marekani ana toleo lolote la 6th gen? ​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ