Ubora wa ndege vita za China waonekana katika vita ya Pakistan na India

Kwamba Russia ana desa kwa USA? Una uhakika na hili?
 
India ni Nchi ambayo ina marafiki kote kote Urusi, Usa, Ulaya etc kutokana na Nature hio hakuna Nchi ambayo ina Urafiki wa Kweli na India,

Usitegemee hata siku moja China na India wapigane Urusi Amsaidie India,

Kuna stake kubwa sana baina ya Urusi na China


Urusi hawezi kustake hii biashara, India hana cha Kumpa Urusi zaidi ya kutumika tu kuuza Biashara za Urusi.
 
Hayo umesema wewe usiye na ujuzi wowote kuhusu fighter jets. ​
Wewe unaujuzi gani? Kusoma mtandaoni ndiyo umekuwa na ujuzi? Wewe ni mahaba Niue....mchina hajawahi kumiliki tech yoyote ya maana zaidi ya reverse engineering
 


Tushasema vita ambavyo US hausiki zaidi ya kumpromote China Adui yake kimaslahi havitadumu.

Millitary experts wanakubaliana sio tu India kupotezea ndege bali hiyo Operation Sindoor ni significant millitary failure.
 
Wewe unaujuzi gani? Kusoma mtandaoni ndiyo umekuwa na ujuzi? Wewe ni mahaba Niue....mchina hajawahi kumiliki tech yoyote ya maana zaidi ya reverse engineering
Upande wa NATO na West Rafale kwa sasa ndiyo fighter jet ya pili kwa ubora nyuma ya F-22 na F-35

J-10C iliyoundwa mwaka 1999 na ambayo ni 4th gen ime-outperform Rafale in real combat better missiles better radar

Inakuwaje mwenye reverse engineering anakuwa bora zaidi?
​
 
Asante kwa haya madini​
 
China imesema hawajawahi unda ndege kama Pakistan anayodai kiufupi hawazitambui hiyo Model ya j10
 
Yaan huyu mchina miaka 30 ijayo atakuwa mbali sana
 
Hivi ilikuwaje? ilitokea dog fight ama?
Hamna dogfight pale.

India imeingiza ndege zake anga la Pakistan kushambulia 6 targets na Pakistan ilisema siku hiyo watu zaidi ya 30 walikufa. India inadai ilishambulia kambi za kigaidi, Pakistan inadai India ilishambulia raia wema. Some of the footage ni kama msikiti hivi ulilipuliwa.

After that fighter jets za India zikaondoka anga la Pakistan baada ya kukamilisha shambulizi lakini tiyari Pakistan ikajua kuna intruders angani. Pakistan ina AEW aircrafts ilizinunua Sweden, AEW zina range kubwa kuliko fighters na ndio kazi yake kusoma anga na ground na zikaona ndege za India zikiwa zinarudi kwao. Zikatumwa ama JF-17 Block III au J-10CE za China kurusha long range air to air missiles PL-15E na ground to air missiles HQ series nazo kutoka China. Hizo missiles zikakutana na ndege za India kwenye anga la India nje kidogo ya mpaka na ndio some of the jets zimeangushwa mpaka sasa exact number haipo.

Siku mbili baadae ndio India wakafanya SEAD, maana tiyari ishakuwa kama tug of war. Mwanzoni wangefanya SEAD au kwenda na AEW ingeonekana wanavamia state na ni act of war. Sasa wameanza kwa kudai "wanashambulia magaidi" then response ya Pakistan ndio itafanya waingie mapigano ama lah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…