T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Hivi sasa usiku huu India imeshambulia airbase ya Pakistan.
Naona kama umepanick sana mwanetuNa Pakistan leo hii imeomba mkopo wa dharura IMF, na wamepewa $1 billion. Wamepewa bailout na wamepewa mkopo mwingine.
Pakistan iko in economic crisis na inataka vita.
Zikatumwa ama JF-17 Block III au J-10CE za China kurusha long range air to air missiles PL-15E na ground to air missiles HQ series nazo kutoka China. Hizo missiles zikakutana na ndege za India kwenye anga la India nje kidogo ya mpaka na ndio some of the jets zimeangushwa
Daaa apa umechemsha J10 za China mwenyewe na kuwauzia izo ndege jambo lipo wazi kabisa.China imesema hawajawahi unda ndege kama Pakistan anayodai kiufupi hawazitambui hiyo Model ya j10
Inashangaza sanaDaaa apa umechemsha J10 za China mwenyewe na kuwauzia izo ndege jambo lipo wazi kabisa.
Mm nimesimama na Mikataba Russia ni moja ya Mataifa yanayosimamia Mikataba yake !!!!India ni Nchi ambayo ina marafiki kote kote Urusi, Usa, Ulaya etc kutokana na Nature hio hakuna Nchi ambayo ina Urafiki wa Kweli na India,
Usitegemee hata siku moja China na India wapigane Urusi Amsaidie India,
Kuna stake kubwa sana baina ya Urusi na China
View attachment 3328847
Urusi hawezi kustake hii biashara, India hana cha Kumpa Urusi zaidi ya kutumika tu kuuza Biashara za Urusi.
Kajichanganya kweli mana vip mtu akatae brand yake!!.Inashangaza sana
Basi Pakistan wametisha na jamaa wapo chap sana..Hamna dogfight pale.
India imeingiza ndege zake anga la Pakistan kushambulia 6 targets na Pakistan ilisema siku hiyo watu zaidi ya 30 walikufa. India inadai ilishambulia kambi za kigaidi, Pakistan inadai India ilishambulia raia wema. Some of the footage ni kama msikiti hivi ulilipuliwa.
After that fighter jets za India zikaondoka anga la Pakistan baada ya kukamilisha shambulizi lakini tiyari Pakistan ikajua kuna intruders angani. Pakistan ina AEW aircrafts ilizinunua Sweden, AEW zina range kubwa kuliko fighters na ndio kazi yake kusoma anga na ground na zikaona ndege za India zikiwa zinarudi kwao. Zikatumwa ama JF-17 Block III au J-10CE za China kurusha long range air to air missiles PL-15E na ground to air missiles HQ series nazo kutoka China. Hizo missiles zikakutana na ndege za India kwenye anga la India nje kidogo ya mpaka na ndio some of the jets zimeangushwa mpaka sasa exact number haipo.
Siku mbili baadae ndio India wakafanya SEAD, maana tiyari ishakuwa kama tug of war. Mwanzoni wangefanya SEAD au kwenda na AEW ingeonekana wanavamia state na ni act of war. Sasa wameanza kwa kudai "wanashambulia magaidi" then response ya Pakistan ndio itafanya waingie mapigano ama lah.
Hakuna ndege ya Israel ilishaingia anga la Iran..Msidanganyane. Kwenye vita vya ndege, China bado sana. Hata fighter jets zetu hapa Tanzania, zilizonunuliwa toka China, wakati wa mazoezi tu zilianguka 2 na kulipuka!
Kwa upande wa vita kati ta India na Pakistan, umechemka kidogo, inaonekana hukuelewa. Hakukuwa na air to air fighting. Ni India ndiyo iliyoenda kuidlshambulia Pakistan kwa ndege, na kama kuna ndege ya India ilidunguliwa, basi ni kwa ground missiles, siyo kutoka kwenye ndege.
Mpaka sasa, katika ubora wa fighter jets, Marekani ndiyo inayoongoza kwa ndege bora, ikifuatiwa na Ufaransa. Urusi uliyoitamka, ni bora katika makombora, siyo katika fighter jets, ndiyo maana hata huko Ukraine, mashambulizi yake mengi ni kwa drones, na makombora ya kurushwa toka ardhini, siyo kutoka kwenye ndege zikiwa angani.
Ubora wa ndege za Marekani katika vita vya anga, unadhihirishwa na mashambulio ya Israel huko Iran na Yemen. Zilitumika ndege nyingi, na hakuna hata moja iliyodunguliwa.
It is Pasktan's claim. Therefore, it hasn't been proven to be true!
Rafale imeangushwa moja ambayo inaonekana bawa lake tu, other parts sijui ziko wapi. Wewe hizo Rafale zako 6 unazoota hata picha ya moshi huna. Wakati India inashambulia kambi za kigaidi, airbase na bandari za Pakistan.Mdogo mdogo tutaanza kuzungumza lugha moja. Mwanzoni ulikuwa unakataa huu ukweli.
Na hapo ongezea kuwa hizo jets zilizoangushwa ni Rafale
Kurukaruka kwa maharage ndio kuiva kwake
Mkuu embu acha ubishi aise.Mm nimesimama na Mikataba Russia ni moja ya Mataifa yanayosimamia Mikataba yake !!!!
natoa mfano mwengine pale Syria ukichunguza Russia ana maslahi yoyote ya maana lkn alikwenda kumuokoa Assad !!!!!
Bila kuofia atua atokazochukuliwa na inch za West !!!
vita ni nigalama kubwa Sana ikiwemo na Damu za Vijana wa Russia akujali yote ayo!!!!!
Russia Mikataba yoyote kati ya nchi na nchi ktk mambo ya ulinzi lazima ipelekwe Bungeni kupitishwa !!!
ndio mana inatekelezwa kivitendo Sababu Rais anapata izini ya Bunge lao Duma!!!!
. Assad kaanguka sababu tunadhijua na Russia alitoa ufafanuzi kuwa yale ni Mapinduzi manake Jeshi liliungana na Adui ndiomana Assad ayupo tena..!!!!
sasa leo tukisema Russia atamwacha India Kwasababu za kuichumi mnakosea !!!!
pengine mm nanyinyi ndio tulikuwa tunasema Russia ni Dude kubwaaa Vikwazo vyote lkn yupo imala mm bado naamini ivyo Russia ni mama na Baba wa dunia !!!!!
wale macho madogo ndio tegemezi kwa Russia,,!!!!
Sasa vipi iwe Russia tegemezi kwa China???
Kama Sababu ni Uchumi Baba - Mwajuma mkwe wangu embu weka na takrimu za Uchumi kati ya Russia na West Country kabla ya Vikwazo?? ?
Tupime Wapi Russia alitakiwa kufumba macho ya mikataba yake ya Ulinzi au maslai yake.???
Huo mkopo uliombwa muda sio sasa usitudanganye mkuu.Rafale imeangushwa moja ambayo inaonekana bawa lake tu, other parts sijui ziko wapi. Wewe hizo Rafale zako 6 unazoota hata picha ya moshi huna. Wakati India inashambulia kambi za kigaidi, airbase na bandari za Pakistan.
Pakistan maskini jeuri hana hela anakopa IMF akaanzishe vita. Wana njaa kichwani.
Ukraine propagandist ili kuridhisha raia wake.Tukuamini wewe au tufuate source za Ukraine??
Ila wachina washenzi sana nimecheka kwelibaada pakistan kuwaibisha India ni vitu Made in CHina Ze Comedy ya kichina wametupa nyimbo safi ya kuwa moke wahindi
View attachment 3329103