Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Msichokijua ni kwamba Diamond hawezi kukubali kugombea against ZZK, kama ambavyo hakufanya kampeni mikumi kwa prof J.
 
Kuwa tu ccm ni ujinga tayari kama huyu mtoa uzi.
Hivi unawezaje kumlinganisha zitto na yule midomo?
unaposema mbunge kawatelekeza watu wa kwao unamaanisha nini? kazi za mbunge ni zipi ambazo zzk hajazifanya hadi umringanishe na huyo midom bakuli.
kwa taarifa yako lile tamasha ambalo unalitumia kama kipimo lilihudhuriwa na watu kutoka hata nchi jirani
 

..Sugu na Prof J walipoamua kuingia kwenye siasa hawakuwa na majina makubwa au kipato kama alichokuwa nacho Diamond.

..Na tangu wawili hao waingie kwenye siasa sina kumbukumbu kama wametoi kibao chochote kilicho " hit ."

..Diamond akiwa mwanasiasa, na mwanamuziki at the same time, ni vizuri tujiulize upande wake upi utaathirika negatively.

..Je, mziki wa Diamond utadorora? Au ubunge na uwakililishi wake ndiyo utakaokuwa na changamoto?

..Mimi kwa maoni yangu, Diamond aingie kwenye siasa kama ameona mziki wake unakwenda chini. Lakini kama mziki wake bado uko juu, basi ni bora endelee na fani yake ya muziki.
 
Diamond siasa zitamporomosha!

Anaotaka kuwanufaisha kisiasa kwa kutumia umaarufu wake ni watu wasiokubalika na watanzania wengi hivyo awe makini
Hiyo tathmini yako ni dhaifu
Tatizo lenu ni mabingwa wa kudai demokrasia na uhuru wa kujieleza,lakin mnakuwa nanodngwa watu wakifungamana na ccm
Ni vigumu sana watu wote tukapenda chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…