Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Uchaguzi 2020 Ubunge Kigoma Mjini, Zitto Kabwe vs Diamond Platnumz

Kuvuka mipaka ni pale unaposhangilia ndege kukamatwa,au kushadidia nchi iwekewe vikwazo vya kiuchumi

Hii kuteka, kupiga risasi, kunajisi chaguzi ni ndani ya mipaka na ni uzalendo?
 
Wewe mleta uzi kichwani mwako ni patupu,kama zito kawatelekeza huyo mwimbaji wenu ni mkazi wa Kigoma? siasa za Kigoma siyo kama za Tabora ,Dodoma,watu wa kule wanajitambua toka vyama vingi vilejeshwe,au ulikuwa bado tumboni mwa mama?
 
Atashinda kihalali kabisa.

Ni kweli anaweza kushinda kihalali, lakini sio kwa kishindo kama ambavyo anataka. Na kama kweli anaamini anaweza kushinda kihalali kwanini anakuwa kiongozi wa kunajisi chaguzi hapa nchini na kugomea tume huru ya uchaguzi? Akili Za kuambiwa changanya na zako.

Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu maamuzi yenye utata katika mpira wa miguu, waliamua kuweka mfumo wa uhakiki maarufu kwa jina la VAR ( Video Assistance Referee). Lengo la huu mfumo ni kuondoa utata, na kweli ni wazo lililokubaliwa na wote wanaoamini katika kushinda kihalali. Na kweli huo ndio mfumo unaotumika duniani kote. Mbona hapa kwetu kuna malalamiko ya wazi na ya muda mrefu kuhusu mwenendo wa uchaguzi, lakini hata rais huyu mnayetuaminisha ana uhakika wa kushinda hataki tume huru ya uchaguzi? Kibaya zaidi, mbona chini ya awamu yake ndio mshindi anazidi kupatikana katika mazingira ya kuacha shaka zaidi?
 
Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Tuulize wana Kgm. Kwa sasa zitto hana mvuto tena kwa wanakigoma. Hali iliyomtokea Kgm kaskazini hadi aka switch na serukamba ndio iliyopo mjini kwa sasa. Ujio wa Diamond Kigoma hata baba levo atamkimbia zitto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
thetallest,
Diamond's end in the music is coming if that is true. He is trading a brand for bullshit. He now represent a country if he does not understand. Hope someone will make him understand that he is more than any MP. Mwenzie ni aliyempigia simu
 
Ccm wanataka wazidi kutuongezea wabunge vilaza jamani! Hivi kweli umtoe Zuberi afu umuingize Nasibu mjengoni? Mungu tunakuomba nusuru nchi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
Sisi wana Kigoma tunamtaka akatusemee, kuliko huyo .... wa mabeberu kutwa kucha yupo twiter. Ni mbunge wa twitter[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa, muziki, matamasha, shows nje ya nchi,

Sent using Unataka kujua ili iweje
 
Nini Diamond aende na baba yake, na kibabu Humphrey Polepole akae kule mwanzo mpaka mwisho wa kampeni.
 
Huyu atapingwa kwa kuwa ni CCM ila angekuwa chadema ingekuwa pouwa tu.

Cc Sugu na prof. Jay wao wako sawa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom