Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Kuvuka mipaka ni pale unaposhangilia ndege kukamatwa,au kushadidia nchi iwekewe vikwazo vya kiuchumi
Hii kuteka, kupiga risasi, kunajisi chaguzi ni ndani ya mipaka na ni uzalendo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuvuka mipaka ni pale unaposhangilia ndege kukamatwa,au kushadidia nchi iwekewe vikwazo vya kiuchumi
Diamond siasa zitamporomosha!
Anaotaka kuwanufaisha kisiasa kwa kutumia umaarufu wake ni watu wasiokubalika na Watanzania wengi hivyo awe makini
Atashinda kihalali kabisa.
Tuulize wana Kgm. Kwa sasa zitto hana mvuto tena kwa wanakigoma. Hali iliyomtokea Kgm kaskazini hadi aka switch na serukamba ndio iliyopo mjini kwa sasa. Ujio wa Diamond Kigoma hata baba levo atamkimbia zitto.Zitto yuko kwenye level zingine.. Kasema anapenda kuwa Rais.. Kwa hiyo sidhani kama 2020 atagombea ubunge.. Nadhani atagombea urais.
Hata kama haishi lakini atatuwakilisha kuliko zitto anayewakilisha mabeberu twitterKwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma zaidi kuliko Zitto?
Hahahaha nani akaliwe funza?
Sisi wana Kigoma tunamtaka akatusemee, kuliko huyo .... wa mabeberu kutwa kucha yupo twiter. Ni mbunge wa twitter[emoji12]Alipo Diamond ni juu zaidi ya wabunge kiuchumi na kiumashuhuri.....sasa anafuata nini kule bungeni ni siku hizi hakuna dili? Hata Harmonize namuonea huruma sababu hajui sarakasi za sihasa...na washauri wake wanafuata upepo
Unataka ampigie debe anayevaa baraghashia!!!???? Unaishi zama zipi ndugu?Huu ubunge siku hizi hauna maana tena. Niliona hata Mkulu akimpigia debe mwimba muziki wa kiume anae suka nywele kwamba nae anafaa kuwa mbunge.. Yaani haya ni mambo ya aibu mno.
Tuliwachagua..Kipi kinashindikana, kwani hao viongozi wa SM wa sasa hivi wako kwakuwa mliwachagua?
Poti umechemka. Au umeshakuwa ndobhezi. Muulize kilichomtoa Kigoma kaskaziniZitto kabwe hawezi shindwa ubunge Kigoma,labda sio hii Kigoma yetu, Zitto ndio mgombea ambae akigombea jimbo lolote la Kigoma anashinda.
Kusumbuliwa na funza kijijini kwenu basi unahisi kila sehemu kuna funza!!!Kwamba Diamond ndiye ataenda kuishi kigoma zaidi kuliko Zitto?
Hahahaha nani akaliwe funza?
Sugu anaongea nini!!???Diamond domo zege ataenda kuongea nini bungeni?
Kweli ccm imefirisika sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
T
Tuliwachagua..
huyu dogo atatumiwa lama "mundoko" na kutupwa jalalani na kurudi kuwa chokoraa wa Tandale kama zamani!!