Yaani hata kura zilizoharibika ni Zaidi ya mara 9.6 ya kura za mgombea wa Mtikila?
Na ni zaidi ya mara tatu ya mgombea wa NCCR?
Na ni zaidi ya mara 2.3 ya kura za DP na NCCR?
Mbona mtikila atakua kituko? Kwa hiyo ukiangalia wale mamluki wameumia zaidi wakidhani watagawa kura za CHADEMA.Wamepata Fresh!
Nimekuwa nikilitafakari hilo pia. What IF?!
Kazi waliyofanya CHADEMA hakika haikuwa nyepesi. Itachukuwa muda CCM kuzinduka, wao wanadhani inatosha kuchachamaa kipindi cha uchaguzi tu.
.
Hivi NCCR na DP wanajifunza nini hapo?
Walidai wameenda kushindana na CHADEMA si bora wangedumisha umoja tu.
Mbatia hoiiiiiiiiiiiiiiiii aibu kwa Mbatia saizi atakuwa anatambua kweli jimbo lilikuwa la CHADEMA.
Oh! God, Iwish anaye weza muona Makamba na Msekwa walipo sasa akapata sura zao na nyuso zilivo waporomoka akatuwekea hapa!
I wish ninge weza ona sura ya Tossi aliye dai kutangaza vita kati ya jeshi lake la Polisi na Chadema akiwa mzalendo na ku kusalimu amri live kushindwa vita na nguvu ya umma
I wish vyombo vya propoganda vikiongozwa na TBC viwe viungwana na kujifunza toka leo kfanya kazi kulingana na maadili ya kazi zao kuliko kuwa vyombo vya propoganda ili hali vikiendeshwa kwa kodi zetu
I wish, I wish.. oh.. God where is Tambwe Hiza chiiiiiiiiiiiiiiiii... kauweka wapi uso wake??
hongereni tarime.......
Watz wote tunapaswa tusilala tarime wametufungulia njia
tutafika tuu.......
Phil,
Tumesimama wima. Tumekubali kushindwa. Ndo demokrasia.
Hongereni Chadema. Matokeo sasa ni rasmi.
Kidumu chama cha mapinduzi