Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Ubunge Tarime: Wagombea, Kampeni na Uchaguzi

Status
Not open for further replies.
Habari kutoka Tarime linasema sasa hivi mji mzima ni chereko chereko tupu na maandamano baada ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza ushindi wa nguvu kwa CHADEMA baada ya wagombea wake wa ubunge na udiwan kuibuka kidedea.

Katika nafasi ya ubunge Chadema imeshinda kwa kura takribani 35,000 dhidi ya 28,000 za Mgombea wa CCM.

Kabla ya hapo polisi wameripotiwa kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi ya watu waliokuwa wakisherehekea kwa maandamano ushindi wa kiti cha udiwani, wakati matokeo ya ubunge yakisubiriwa.
 
Salute wana wa Tarime kusimama imara na kutetea haki yenu, katika Tanzania hii mko wachache sana. Kwa kuwa mmeanzisha watanzania wenzenu wamewaona na wanalazimika kujifunza kutoka kwenu. Vyovyote vile CCM wamejifunza pia wakati unataka nini hata wakitumia mabavu na vikosi vyote vya FFU, Jeshi na Usalama wa Taifa bado nguvu ya umma ni nguvu ya mungu. ijapokuwa mgombea wa CCM amesema hatambui matokeo lakini habari ndio hiyo.

Pemba & Unguja mpo! mtakaa sana mezani lakini watu wa Tarime wamewapa somo la namna bora zaidi ya kudai haki.

Bravo wana Tarime, Bravo Chadema pamoja tunasongambele!!!!
 
Ndugu zetu wa Tarime,hongereni sana kwa kuonyesha ukomavu wa siasa na kusimamia mnacho kiamini na kutetea haki yenu. Mmemchangua kiongozi mnayemwamini na kumpa ushindi wa kishindo. Hongereni sana wana Chadema.
 
Yaani hata kura zilizoharibika ni Zaidi ya mara 9.6 ya kura za mgombea wa Mtikila?

Na ni zaidi ya mara tatu ya mgombea wa NCCR?

Na ni zaidi ya mara 2.3 ya kura za DP na NCCR?

Mbona mtikila atakua kituko? Kwa hiyo ukiangalia wale mamluki wameumia zaidi wakidhani watagawa kura za CHADEMA.Wamepata Fresh!

Nimekuwa nikilitafakari hilo pia. What IF?!

Kazi waliyofanya CHADEMA hakika haikuwa nyepesi. Itachukuwa muda CCM kuzinduka, wao wanadhani inatosha kuchachamaa kipindi cha uchaguzi tu.

.
 
Ila watu naona wameingia mtini.Ingeshinda CCM hapa pasingekalika.Baadhi ya watu inaonekana wangekua ndiyo wagombea wa CCM wangepinga matokeo.Kaazi kweli kweli.

Yaani hata waliokua na kiu kuu ya kutaka matokeo jana wameshtushwa na CHADEMA kushinda na wameingia uvunguni.

Duh!
 
Hongera wanatarime, mimi ni msomaji mzuri wa JF kila siku hakuna kukosa JF, leo ninafuraha KUBWA SANA,
Napenda kutumia fursa hii kuwapongeza Wanatarime wote, Chadema wote, JF wote kwa kutupa habari live hasa sisi tulio mbali na home, Heshima mbele kwa Lisu, Mbowe, Zitto, Mnyika, Slaa, Mwera, Mwenyekiti wa kampeni chadema na wengine wote,
I am trying to imagine how is Rostam Aziza Now?

Baba PAKAAAA alisemaaaaaaaaaaaaa twendeni tuuuuuuuuuuuu Kawinde panya(CCM)

Cheers,
 
Hivi NCCR na DP wanajifunza nini hapo?
Walidai wameenda kushindana na CHADEMA si bora wangedumisha umoja tu.
Mbatia hoiiiiiiiiiiiiiiiii aibu kwa Mbatia saizi atakuwa anatambua kweli jimbo lilikuwa la CHADEMA.
 
Nimekuwa nikilitafakari hilo pia. What IF?!

Kazi waliyofanya CHADEMA hakika haikuwa nyepesi. Itachukuwa muda CCM kuzinduka, wao wanadhani inatosha kuchachamaa kipindi cha uchaguzi tu.

.

Mkuu,

Hamad Yusuf alisema hapa Juzi wataipata Fresh!

Kitila alisema hapa juzi wanajiandaa kupambana kuzuia njama zao za wizi wa kura.Kuna watu hapa walitoa mashambulizi,nikasema well!

Leo mkuu wameingia mtini,ngoja nikapate lunc-cum dinner sasa.Nilikua nasubiri matokeo
 
Oh! God, Iwish anaye weza muona Makamba na Msekwa walipo sasa akapata sura zao na nyuso zilivo waporomoka akatuwekea hapa!

I wish ninge weza ona sura ya Tossi aliye dai kutangaza vita kati ya jeshi lake la Polisi na Chadema akiwa mzalendo na ku kusalimu amri live kushindwa vita na nguvu ya umma

I wish vyombo vya propoganda vikiongozwa na TBC viwe viungwana na kujifunza toka leo kfanya kazi kulingana na maadili ya kazi zao kuliko kuwa vyombo vya propoganda ili hali vikiendeshwa kwa kodi zetu

I wish, I wish.. oh.. God where is Tambwe Hiza chiiiiiiiiiiiiiiiii... kauweka wapi uso wake??
 
Hivi NCCR na DP wanajifunza nini hapo?
Walidai wameenda kushindana na CHADEMA si bora wangedumisha umoja tu.
Mbatia hoiiiiiiiiiiiiiiiii aibu kwa Mbatia saizi atakuwa anatambua kweli jimbo lilikuwa la CHADEMA.

Mkuu Fidel,

Hawatajifunza kabisa. Yaani hata kura zilizoharibika ni mara 9.6 ya za DP na mara 3 zaidi ya za NCCR na ni mara 2.3 zaidi ya za vyama vyote viwili DP na NCCR.

Hii fedheha ingewapata watu emotional kama wahindi wangeshajiua?
 
Oh! God, Iwish anaye weza muona Makamba na Msekwa walipo sasa akapata sura zao na nyuso zilivo waporomoka akatuwekea hapa!

I wish ninge weza ona sura ya Tossi aliye dai kutangaza vita kati ya jeshi lake la Polisi na Chadema akiwa mzalendo na ku kusalimu amri live kushindwa vita na nguvu ya umma

I wish vyombo vya propoganda vikiongozwa na TBC viwe viungwana na kujifunza toka leo kfanya kazi kulingana na maadili ya kazi zao kuliko kuwa vyombo vya propoganda ili hali vikiendeshwa kwa kodi zetu

I wish, I wish.. oh.. God where is Tambwe Hiza chiiiiiiiiiiiiiiiii... kauweka wapi uso wake??

Ndicho ninachotamani,nakuambia makamba asipotukana mtu leo sijui!
 
hongereni tarime.......

Watz wote tunapaswa tusilala tarime wametufungulia njia

tutafika tuu.......
 
wakuu sana,naipongeza demokrasia ya Tanzania.Kumbe mabomu si chochote watu wakiamua.Huu ni mwanzo wa enzi mpya.Kama ni ndio,ni ndio tu na kama ni hapana basi ni hapana tu.Tarime,hongereni na poleni.Jengeni Tarime yenu sana and heal the wounds!
 
Hongera CHADEMA kwa ushindi mnono. Kwa mizengwe ya Tarime naamini huo ni ushindi mzuri sana na changamoto pia kwa majimbo mengine.

Naona Tingatinga atawacheka sana CCM.
 
Phil,

Tumesimama wima. Tumekubali kushindwa. Ndo demokrasia.

Hongereni Chadema. Matokeo sasa ni rasmi.

Kidumu chama cha mapinduzi

....kigumuuuuuuuuuu!!!

nina imani na nyerere oya oya oya oyaaaaa....nyerereee kweli

nyerere kweli...kweli...kweli nyerere...nyerere kweli

nina imani naye mwera oyaaa oyaaa..

nina imani naye slaa..

nina imani na mbowe..

nina imani na myika...

nina imani na komando zitto...

nina imani na CHADEMAA,,,,,,

jiungeni CHADEMA ..tujenge CHAMA MBADALA!!!....HATA CCM TUNASHABIKIA CHADEMA KIMOYO MOYO......

CHADEMA GARI KUBWA....IKIPITA WANAISOMA HATA KIMOYO MOYO.....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom