Habari kutoka Tarime linasema sasa hivi mji mzima ni chereko chereko tupu na maandamano baada ya msimamizi wa uchaguzi kutangaza ushindi wa nguvu kwa CHADEMA baada ya wagombea wake wa ubunge na udiwan kuibuka kidedea.
Katika nafasi ya ubunge Chadema imeshinda kwa kura takribani 35,000 dhidi ya 28,000 za Mgombea wa CCM.
Kabla ya hapo polisi wameripotiwa kutumia mabomu ya machozi kutawanya makundi ya watu waliokuwa wakisherehekea kwa maandamano ushindi wa kiti cha udiwani, wakati matokeo ya ubunge yakisubiriwa.