Conquistador
JF-Expert Member
- Jun 10, 2024
- 1,435
- 3,463
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.