Ubungo: Shule ya Msingi Upendo Kuna Mwalimu ana Master's Degree anafundisha darasa la kwanza

Conquistador

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2024
Posts
1,435
Reaction score
3,463
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.

Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.

Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.

MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.

This is abuse of power and misallocation of scarce resources.

Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.

Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?

I rest my case.
 
Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua Ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.
MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.
This is abuse of power and misallocation of scarce resources.
Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.
Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?
I rest my case.
Kwenye internal schools ambazo ni chache sana Tanzania hao ni wasaidizi wa walimu. Primary ndo panahitajika walimu kama hao hili wajenge msingi bora kwa watoto wetu. Kinachotakiwa alipwe mshahara unaoendeana na elimu yake.
 
Enzi za Utawala Mwenzako badala ya kuajiri Walimu wapya akachukua Walimu toka Sekondari kupeleka shule za msingi na nyinyi wanyonge mkashangilia Sana!

Sasa hivi ndio mnaona athari za misallocation! Shule za Sekondari zina upungufu mkubwa Sana wa Walimu bado huko msingi ndio kabisa.
 
Tatizo lilianzia hapa baada ya sisi kujifanya hakuna tatizo, na kulifumbia macho tatizo la elimu.
 
Huyo wa masters je kama alisoma childhood education unataka akafyndishe fom6?

Huyo wa memkwa je kama alisoma bed adult education unataka akafyndishe f2?

Ualimu sio kusovu magazijuto tu Kuna mambo mengi.

Masters za ualimu Kwa Sasa ni nyingi mno.
 
Hiyo ni kawaida kabisa ukizingatia na ubora wa elimu ya Tanzania. Kuwa na maste degree ya bongo haimaanishi hutakiwi kufundisha madarasa ya awali.kwahiyo wewe ukitaka wenye elimu mbovumbovu au ndogo ndiyo watufundishie watoto wetu?hata ulaya walimu wa masters Hadi PhD hufundisha darasa la kwanza lakini malipo tu ndiyo yanakuwa makubwa.
 
Huyo wa masters je kama alisoma childhood education unataka akafyndishe fom6?

Huyo wa memkwa je kama alisoma bed adult education unataka akafyndishe f2?

Ualimu sio kusovu magazijuto tu Kuna mambo mengi.

Masters za ualimu Kwa Sasa ni nyingi mno.
May be you have a good point but let me point out that, MEMKWA Ni stream moja, wanasoma saa nne Hadi saa sita, amewapanga walimu sita.
Darasa la Saba lenye stream tatu, Kuna walimu watatu (3) tu.
Darasa la pili Kuna walimu kumi.
Webu wenye mamlaka wafuatilie isionekane mkuu anafanyiwa majungu.
 
Taja shule..

Wilaya ya ubungo ndo inaongoza kua na vimeo kwa sasa.
 
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.

Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.

Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.

MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.

This is abuse of power and misallocation of scarce resources.

Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.

Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?

I rest my case.
Masters degree ya nini? Inawezekana ni Masters degree ya kufundisha darasa la kwanza?

Unaelewa kuna hizo degree kama za early education mpaka Ph.D right?
 
Leo nilibahatika kutembelea shule ya msingi Upendo iliyoko katika manispaa ya Ubungo, jijini Dar es salaam.

Nilikutana na class mate wangu ambaye kwa Sasa ni mwalimu pale Upendo. Huyu mshkaji mwanzoni alikua ni mwalimu katika shule ya sekondari lkn kwasasa anafundisha shule ya msingi, hili Jambo lilinishangaza kidogo lakini class mate akanihakikishia kwamba sio yeye peke yake wapo wengi pale.

Kilichonishangaza zaidi ni pale aliponiambia kwamba, pale Upendo Kuna mwalimu ana master's degree anafundisha darasa la kwanza.

MWALIMU MWENYE MASTER'S DEGREE anafundisha darasa la kwanza (std one). Hakuishia hapo, akaniambia Kuna mwalimu ana degree moja anafundisha MEMKWA. wakati naendelea kushangaa akanimaliza kabisa aliposema, mwalimu mkuu anachukua untrained teachers (vijana wa mtaani) kuja kufundisha darasa la Saba.

This is abuse of power and misallocation of scarce resources.

Sijui kama ndio sera za manispaa ya Ubungo.

Taifa linasomesha watu halafu tunawapanga kufundisha MEMKWA, kwa nini wale washkaji za mwalimu mkuu ambao Ni untrained wasifundishe MEMKWA?

I rest my case.
Kuna tatizo? mnataka wafundishwe na Form four walio pata Div 4? kwanza inapaswa kuwa hivyo, shida CCM wamewaharibu sana mnaona ni maajabu.
 
Back
Top Bottom