Uchache wa Waombaji Kazi kwa Post za Assistant lecturers

Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
Mzee wakupe tu scholarship bila wao kubenefit chochote ,sema naonaga udom wanatoa lakini sio kwa economics
 
Mzee wakupe tu scholarship bila wao kubenefit chochote ,sema naonaga udom wanatoa lakini sio kwa economics
What about finance related degrees na account related degrees ? UDOM hawatoi hizo ?
 
Duh! Ulisomea nini?
 
Sio kila chuo kinaweza fanya mchakato wa kuajir TA labda kwa sababu ya cost ya kuwasomesha badae , lakini pia policy , objective na strategies lakini pia Kuna vyuo vinatoa internship kwa TA lakini sio kuwapa ajira kabisa.
Mfano Mzumbe walitoa internship kwa vijana zaidi ya 50 kwenye kampus zao zote lakini ilipofika swala la kuajiri, wale intern wote waliondolewa na wakaajiriwa TA wapya.
Swali ni je, Mzumbe hawakuona ufanisi wa wale maTA waliokua nao kwa zaidi ya miezi 12? Hili nalo pia ni changamoto

Sent from my SM-A3050 using JamiiForums mobile app
 
Ipo ila kwa uchache sana, tena ikute ni NGOs ambazo hazina matatizo ya kiuchumi

Sent from my SM-A3050 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…