Hapa sio uchaganiUtafikiri ni burial center.
View attachment 3574820
Hapa sio uchagani
hahahahahahaa.:SIWEZI KUISHI HAPO KWA USALAMA WA AKILI YANGU
Duh! Mbona umetufokea hivyo?! 😂 😂Katika makabila 120 ya hapa tanzania wachaga wanaongoza kwa ushirikina,huenda humo kwenye hiyo nyumba kuna mizimu ya hao marehemu.
Picha hii imetengenezwa kwa Akili Mshauri (AI) na siyo eneo halisi, kwa sababu:Utafikiri ni burial center.
View attachment 3574820
Sio nawafokea, nawaambia ukweliDuh! Mbona umetufokea hivyo?!
Sina uhaklika kama unachosema kinaukweliSio nawafokea, nawaambia ukweli
Uchagani hio brazaKwamba ni Uru, Kahe, Mamba, Kilima au Kindi hapo?
Kwamba ni Shimbi, Marangu kitowo hapo?
Kwamba ni Mabogini, Mbokomu, Kirua Vunjo hapo?
Kwamba ni Mwika, Old Moshi au Kibosho hapo?
Au mtoa mada umeamua tuu kutupanga. 😁