Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Katika makabila 120 ya hapa tanzania wachaga wanaongoza kwa ushirikina,huenda humo kwenye hiyo nyumba kuna mizimu ya hao marehemu.
Sio tu uchagan tanga nishaienda nikakutana na dada mrembo sana sn kamfuata nikitaka kumfahamu nlpomkaribia hv akatoweka nlshtuka san tangu hiyo siku sitongoz kiholela maan nljua ntakuj kutongoz jin
 
Ukitaka kugundua watu ni wajinga, angalia wanavyofocus kwenye mfano uliotolewa na kuiweka hoja pembeni.
 
Ni kweli afu dar wamejaa wamejifungia kwene mageti ya kusukuma na ni wengne wachoyo hatari. Mpaka sasa ivi wanaogopana wao kwa wao kisa watarogana. Talking through experience coz naish nao
 
Ila ni kweli, wanaporomosha mijengo kisha wanarudi zao huko wanakoishi. Watarudi kuzikwa au krismasi. Unakuta boonge la mjengo ndanindani migombani.
yeah madam
 
enzi nikiwa kwetu wilaya ya siha kuna saa maziko ilkuwa toka jumatatu hadi jumamosi hatupumui anazikwa mwingine anakufa ila harusi haipo kbs ikitokea lbd moja msiba saiv ni sherehe inayotambulka klk harus
 
Noma sana
 
Back
Top Bottom