Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Sio tu uchagan tanga nishaienda nikakutana na dada mrembo sana sn kamfuata nikitaka kumfahamu nlpomkaribia hv akatoweka nlshtuka san tangu hiyo siku sitongoz kiholela maan nljua ntakuj kutongoz jin
Labda alishagundua una changamoto ya kushindwa kuandika vitu vinavyoeleweka, akaona bora apotee tu, labda na yeye utashindwa kum marinate.
 
FB_IMG_16585701660186920.jpg
 
Niliuliza wachaga wenzangu kuhusu hili wakasema nyumbani ni nyumbani tu pana heshima yake...

Wengine wanaamini kabisa kwamba ukiuza hayo maeneo ya nyumbani unapata laana.

Na wengi hujitetea kwa kusema wataishi humo wakistaafu. Nahisi ni utamaduni tu.
 
Back
Top Bottom