Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Uchagani bhana! Unakuta bonge la mjengo hakuna mtu anaeishi hapo. Ukicheki nje, kuna makaburi 9 au 10

Mi Huwa nalalaga hapo mida ya mchana coz limejengewa hakuna jua hapo,
Na pia chakula na kunywa ni hapo hapo juu ya kaburi
Hiyo sio sababu,makaburi kwetu ni vitu vya kawaida , kipindi cha sikukuu tukikutana tunayatumia kama viti vya kukalia tunapiga stories na kunywa pombe
 
Back
Top Bottom