Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
What a waste of precious time, space and energy?Habari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Inasemekana genge hilo linalojiita "chadomo asili" limekuwa likifanya maongezi ya siri na boss wa chama hicho ili amruhusu mzee huyo kurudi chamani, na hatimae kugombea uraisi. Ikumbukwe kuwa boss wa chama hicho na makamu wake wanaishi kwa kutoaminiana muda mrefu, ndio maana hata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mgombea uraisi wa chama hicho ambae ndio huyo makamu wa chama alinusurika kutupwa nje ya kinyang'anyiro na boss wake, ili ampitishe mgombea aliemtaka yeye ambae alikuwa akijulikana kwa jina Lazara Nyalanda.
Ila kelele za baadhi ya watu, haswa wanachama wa mitandaoni ndio zilizomfanya boss huyo abadili muelekeo wa maamuzi yake, na hatimae kumpitisha ndugu makamu kwa shingo upande.
Sasa safari hii kuna uwezekano mkubwa wa kumchinjia mbali makamu, ukizingatia ataempitisha safari hii atakuwa na baraka zote za chama kutokana na historia kubwa aliyonayo chamani na pia mzee huyo ndio anaeaminika kuwa ni raisi wa mioyo yao.
Hizi kelele zote zinazojitokeza sasa hivi kutoka kwa mzee huyo, ni mpango mahususi uliopangwa na boss ili kuwaandaa wanachama wao kusaikolojia. Kwani ataporudi chamani itakuwa ngumu kumpinga kutokana aina ya mapambano yake katika siasa.
2025 mzee huyo atapitishwa na makamu atarudi ubeberuni kwa mabeberu kwa hasira na aibu.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
Kisichokuwa na demokrasia wala maendeleo. Inasikitisha sana 😢CHADEMA sio ACT hii ni CHAMA CHA DEMOCRASIA NA MAENDELEO
Lakini katika ngonjera zote ulizoandika humu hujaeleza nafuu ya Samia ipo wapi, iwe ni huyo makamu au yule mzee kugombea 2025?Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Mzee wa kobaz unahangaika sana na wakatoliki,walikufanya nini?au walikuzalisha wakakutelekeza?achana na udini kenge weweObviously Dr Slaa ndo chaguo la Pengo pale Chadema since wamefanya kazi pamoja Slaa alipokuwa katibu Baraza la maaskofu...
But chaguo halisi la Pengo ni Philip Mpango....ndo maana Philip Mpango kakaa kimyaa kuhusu Bandari Kwa maagizo ya Pengo...Slaa atatumika Tu kuwatisha Ccm ..mradi ikiwezekana wamchague Philip Mpango...hapo Slaa atamuachia Lissu..agombee huku anasubiri teuzi Kwa Ccm
2025 Dr. Mihogo atakuwa na umri wa miaka 90. Je, bado anafaa kuwa Rais?Habari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Inasemekana genge hilo linalojiita "chadomo asili" limekuwa likifanya maongezi ya siri na boss wa chama hicho ili amruhusu mzee huyo kurudi chamani, na hatimae kugombea uraisi. Ikumbukwe kuwa boss wa chama hicho na makamu wake wanaishi kwa kutoaminiana muda mrefu, ndio maana hata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mgombea uraisi wa chama hicho ambae ndio huyo makamu wa chama alinusurika kutupwa nje ya kinyang'anyiro na boss wake, ili ampitishe mgombea aliemtaka yeye ambae alikuwa akijulikana kwa jina Lazara Nyalanda.
Ila kelele za baadhi ya watu, haswa wanachama wa mitandaoni ndio zilizomfanya boss huyo abadili muelekeo wa maamuzi yake, na hatimae kumpitisha ndugu makamu kwa shingo upande.
Sasa safari hii kuna uwezekano mkubwa wa kumchinjia mbali makamu, ukizingatia ataempitisha safari hii atakuwa na baraka zote za chama kutokana na historia kubwa aliyonayo chamani na pia mzee huyo ndio anaeaminika kuwa ni raisi wa mioyo yao.
Hizi kelele zote zinazojitokeza sasa hivi kutoka kwa mzee huyo, ni mpango mahususi uliopangwa na boss ili kuwaandaa wanachama wao kusaikolojia. Kwani ataporudi chamani itakuwa ngumu kumpinga kutokana aina ya mapambano yake katika siasa.
2025 mzee huyo atapitishwa na makamu atarudi ubeberuni kwa mabeberu kwa hasira na aibu.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
Hakuna anaelaumu waislam mkuu. Tujadili mada iliyopo ubaoni, mambo ya uislam na ukristo yabaki msikitini na kanisani.Mkianza kuelemewa mnawalaumu waislam,
Kwanini lakini?
😆😆😆CHADEMA kwa 2025 hawana namna zaidi ya kuwapigia magoti Ndugai, Mnyeti au Polepole kugombea urais kupitia chama chao. Kwa Arumeru Magharibi lazima watamwomba Ole Sabaya agombee ubunge.
Perfect comment 👍Slaa is a spent force.
Nchimbi is too old.
Siemens siioni madukani.
Kipara Ole maropes is our man.
Mama ndio kashika mipini yote miwili ya uenyekiti na uraisi. Kwahiyo hakuna wa kuvutana nae.Mpango atatuchelewesha sana .....mama pia amepata sanaa....marope hatufai mwigulu jeuri.....nepi hamnazo......sasa twende na Mpina maamuzi magumu
Yeyote atakaegombea atampa nafasi Samia ya kushinda uraisi mchana kweupe. Labda watamshinda kwa kubwabwaja jukwaani, lkn kwa vitendo wataangukia pua maana hakuna cha maana walichofanya kwenye majimbo yao na vyama vyao.Lakini katika ngonjera zote ulizoandika humu hujaeleza nafuu ya Samia ipo wapi, iwe ni huyo makamu au yule mzee kugombea 2025?
Hii wanaelewa wachache tu ambao akili zao bado hazijawekwa mfukoni na wanasiasa uchwara.Sijaelewa kabisa
Ndio karata muhimu iliyobaki kwa wapinzani now.2025 Dr. Mihogo atakuwa na umri wa miaka 90. Je, bado anafaa kuwa Rais?
Msihamishe magoli,bandari zetu bandari zetu bandari zetuuuuuuuuuuuHabari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Inasemekana genge hilo linalojiita "chadomo asili" limekuwa likifanya maongezi ya siri na boss wa chama hicho ili amruhusu mzee huyo kurudi chamani, na hatimae kugombea uraisi. Ikumbukwe kuwa boss wa chama hicho na makamu wake wanaishi kwa kutoaminiana muda mrefu, ndio maana hata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mgombea uraisi wa chama hicho ambae ndio huyo makamu wa chama alinusurika kutupwa nje ya kinyang'anyiro na boss wake, ili ampitishe mgombea aliemtaka yeye ambae alikuwa akijulikana kwa jina Lazara Nyalanda.
Ila kelele za baadhi ya watu, haswa wanachama wa mitandaoni ndio zilizomfanya boss huyo abadili muelekeo wa maamuzi yake, na hatimae kumpitisha ndugu makamu kwa shingo upande.
Sasa safari hii kuna uwezekano mkubwa wa kumchinjia mbali makamu, ukizingatia ataempitisha safari hii atakuwa na baraka zote za chama kutokana na historia kubwa aliyonayo chamani na pia mzee huyo ndio anaeaminika kuwa ni raisi wa mioyo yao.
Hizi kelele zote zinazojitokeza sasa hivi kutoka kwa mzee huyo, ni mpango mahususi uliopangwa na boss ili kuwaandaa wanachama wao kusaikolojia. Kwani ataporudi chamani itakuwa ngumu kumpinga kutokana aina ya mapambano yake katika siasa.
2025 mzee huyo atapitishwa na makamu atarudi ubeberuni kwa mabeberu kwa hasira na aibu.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
Muhimu kwanza ni bandari mkuu mengine yoote ni baadae. Bandari ikienda tumepigwa mande hamtaamini.Habari zenu wana JF wenzangu,