Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Ashajua kama kuna mpango wa kukatwa ndomaana anajitahidi kuongeza kubwabwaja ili aonewe huruma na chama, lkn wapi hiyo haitomsaidia chochote.Ngoja tuone...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ashajua kama kuna mpango wa kukatwa ndomaana anajitahidi kuongeza kubwabwaja ili aonewe huruma na chama, lkn wapi hiyo haitomsaidia chochote.Ngoja tuone...
Watu washaanza kuzichanga karata zao mapema before is too late mkuu.Mbona mapema sana
Bandari mbona wanaopigania matumbo yao, wakwepa ushuru na kodi bandarini, wapitisha madawa ya kulevya, vishoka na wauza vifaa vya magari yaliopo bandarini washaanza kusalenda baada ya amiri jeshi mkuu kuwashtukia na kuwapuuza kitambo.Msihamishe magoli,bandari zetu bandari zetu bandari zetuuuuuuuuuuu
Bandari.. 100% ya watanzania tumezaliwa na kuona au kusoma katika vitabu tu kuwa nchi yetu ina bandari kubwa Afrika Mashariki.Muhimu kwanza ni bandari mkuu mengine yoote ni baadae. Bandari ikienda tumepigwa mande hamtaamini.
Wewe ninakufahamu kwa 'utaahira' siku nyingi humu JF; kwa hiyo kujibishana nawe ni luxury tu ya kupotezea muda!Kubwabwaja kwao kusikuhadae ukaendelea kutumiwa kama daraja kwa faida zao na familia zao. Shtuka ndugu.
Yeyote atakaegombea atampa nafasi Samia ya kushinda uraisi mchana kweupe. Labda watamshinda kwa kubwabwaja jukwaani, lkn kwa vitendo wataangukia pua maana hakuna cha maana walichofanya kwenye majimbo yao na vyama vyao.
1. Lisu ashakuwa mbunge wa kwa zaidi ya miaka 15, pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kwa kila mwezi mmoja, lkn ameshindwa kutoa hata milioni moja tu katika mshahara wake kuwashukuru wapiga kura wake japo kwa kuwachimbia kisima cha maji au kununua tofali za shule. Yani inamaanisha watu walikuwa wanampigia kura ili yeye ale na familia yake tu. Kwahiyo huyu anaangalia zaidi tumbo lake na shida zake tu, hana muda na matumbo ya wapiga kura wake shida zao.
2. Huyu nae toka azaliwe hadi leo ni zaidi ya miaka 70, ashakuwa miongoni mwa viongozi wa dini lkn hakuna chochote cha maana alichofanya kuwasaidia waumini wake.
Kahamia kwenye siasa huko nako kashika mamilioni ya shilingi kupitia siasa lkn pia hakuna cha maana alichofanya jimboni kwake kama mbunge. Kwahiyo na yeye hana jipya ni miongoni mwa wapigania matumbo yao na familia zao. Hana uchungu wa kweli na watanzania.
Kubwabwaja kwao kusikuhadae ukaendelea kutumiwa kama daraja kwa faida zao na familia zao. Shtuka ndugu.
45Dr. Wilbroad Slaa amezaliwa October 29, 1948
Anzia hapo afu jiulize 2025 atakuwa na umri gani?
MisriNchimbi yupo wapi mkuu?
Kama iliwezekana kwa mamvi basi hakuna kinachoshindikanaHabari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Inasemekana genge hilo linalojiita "chadomo asili" limekuwa likifanya maongezi ya siri na boss wa chama hicho ili amruhusu mzee huyo kurudi chamani, na hatimae kugombea uraisi. Ikumbukwe kuwa boss wa chama hicho na makamu wake wanaishi kwa kutoaminiana muda mrefu, ndio maana hata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mgombea uraisi wa chama hicho ambae ndio huyo makamu wa chama alinusurika kutupwa nje ya kinyang'anyiro na boss wake, ili ampitishe mgombea aliemtaka yeye ambae alikuwa akijulikana kwa jina Lazara Nyalanda.
Ila kelele za baadhi ya watu, haswa wanachama wa mitandaoni ndio zilizomfanya boss huyo abadili muelekeo wa maamuzi yake, na hatimae kumpitisha ndugu makamu kwa shingo upande.
Sasa safari hii kuna uwezekano mkubwa wa kumchinjia mbali makamu, ukizingatia ataempitisha safari hii atakuwa na baraka zote za chama kutokana na historia kubwa aliyonayo chamani na pia mzee huyo ndio anaeaminika kuwa ni raisi wa mioyo yao.
Hizi kelele zote zinazojitokeza sasa hivi kutoka kwa mzee huyo, ni mpango mahususi uliopangwa na boss ili kuwaandaa wanachama wao kusaikolojia. Kwani ataporudi chamani itakuwa ngumu kumpinga kutokana aina ya mapambano yake katika siasa.
2025 mzee huyo atapitishwa na makamu atarudi ubeberuni kwa mabeberu kwa hasira na aibu.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
Endelea kuota siku ukishtuka utajikuta umeshachelewa miaka 100.Wewe ninakufahamu kwa 'utaahira' siku nyingi humu JF; kwa hiyo kujibishana nawe ni luxury tu ya kupotezea muda!
Hebu kwa mfano angalia haya uliyoandika hapa chini. Ni kama mtu ambaye hana kichwa kabisa chenye ubongo ndani yake.
Samia kwa sasa hivi ashukuru tu kama atamudu kufika hiyo 2025 na kuutua mzigomkubwa sana unaomuelemea mgongoni mwake.
Hakika ulichoandika nimekielewa.Kama iliwezekana kwa mamvi basi hakuna kinachoshindikana
Sina muda wa kupoteza hapa.Endelea kuota siku ukishtuka utajikuta umeshachelewa miaka 100.
Nilitegemea utanipa ushahidi wa kile Lisu alikifanya jimboni kwake kama mbunge kwa miaka 15.
Au alichofanya Slaa ili tuone uwezekano wa wao kumtoa Samia kupitia yale waliyofanya kwa wananchi. Kumbe wewe ubora wao unaupima kupitia kubwabwaja kwao.
Kama kubwabwaja kwa mwanasiasa ndio kigezo cha kupewa uraisi basi watanzania bado tuna safari ndefu kupitia wajinga kama nyie nchini.
Wewe umefika bandarin Mimi nafanya biashara ya inahusisha bandari Zaid ya miaka 25 sasa. Nimesafir nchi nyingi kwenye bandar nyingi coz of My business. Ila nachotaka kusema ni kuwa kuitoa bandari kwa mkataba ule ni big no ni punguani tu anaweza kufanya hayo madudu. Hakuna mtu anakataa wawekezaji shida ni mkataba Mzee. Bro nchi haiwez kugawa hela mpaka useme wewe unanufaika na nini. Ni jukum lako kuziona fursa na kupambana mtoto wa kiume acha kulegea. Eti bandari inanufaishaje nchi so hao wanaopaswa kuisimamia ili tuone manufaa yake kama wameshindwa si waachie ngaz waje wanaoweza? Yaan tumekupa mamlaka yote unashindwa kuyatumia unaenda kumpa mtu mgen simpo coz umeshindwa bure kabisa. Hawa watu bora wazee wao wangevaa condom tu wangetusaidia sana. Hiv unajua Singapore imeendelea kwasababu ya bandari tu.Bandari.. 100% ya watanzania tumezaliwa na kuona au kusoma katika vitabu tu kuwa nchi yetu ina bandari kubwa Afrika Mashariki.
Lakini kiukweli bandari hiyo inanufaisha 1% tu, ya wajanja wanaopiga kelele mitandaoni kuhusu bandari. 99% ya watanzania waliobaki ikiwemo mimi na wewe hatujawahi kufaidika na chochote kinachoingia wala kutoka bandarini.
Kwa sisi ambao tushafika bandarini mara nyingi tunajua ni kwanini kuna kundi dogo la wakwepa kodi na ushuru linapiga kelele, tunajua ni kwanini kuna wapitisha madawa ya kulevya bandarini na wezi wa vifaa vya magari bandarini linapiga kelele, tunajua ni kwanini wahujumu uchumi pale bandarini wamegawa pesa kwa baadhi ya watu wenye ushawishi na uwezo wa kudanganya nyumbu wamehongwa ili kusaidia wahujumu hao kupiga kelele.
Pengine wewe umeunga tela tu bila kupewa hata senti tano kwa kigezo cha uzalendo uchwara huku wenzako wakinufaika na mfumo mbovu uliyopo bandarini sasa hivi.
Unafika bandarini unakuta mtu ana tumbo kama fuko la dagaa, ana majumba yasiokuwa na idadi afu wewe unaetaka bandari iendelee kubaki katika mikono yao kwa kigezo cha uzalendo unashindwa kupata hata hela ya kulipa chumba unachopanga.
Nonsense.
Kama ulijua fika kuwa usiku utalala kwa kula ugali na mboga za maboga, hivi ni kwa nini sasa umejilipuwa kwa mataputapu na gongo!? Ona sasa madhara yake!Habari zenu wana JF wenzangu,
Inasemekana ndoto za makamu kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazidi kuyayuka kama chumvi ndani ya maji baada ya kuanza kusoma alama za nyakati, na kusikia tetesi kutoka kwa baadhi ya watu waliopo ndani ya chama chake, wakidai kwamba kuna mpango unasukwa na genge la aliekuwa katibu mkuu wa chama hicho na ambae aliwahi kuwa balozi wa Tanzania huko ukubwani, ili aweze kurudi katika chama hicho na hatimae aweze kupeperusha bendera ya mgombea uraisi wa chama hicho ifikapo mwaka 2025.
Inasemekana genge hilo linalojiita "chadomo asili" limekuwa likifanya maongezi ya siri na boss wa chama hicho ili amruhusu mzee huyo kurudi chamani, na hatimae kugombea uraisi. Ikumbukwe kuwa boss wa chama hicho na makamu wake wanaishi kwa kutoaminiana muda mrefu, ndio maana hata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, mgombea uraisi wa chama hicho ambae ndio huyo makamu wa chama alinusurika kutupwa nje ya kinyang'anyiro na boss wake, ili ampitishe mgombea aliemtaka yeye ambae alikuwa akijulikana kwa jina Lazara Nyalanda.
Ila kelele za baadhi ya watu, haswa wanachama wa mitandaoni ndio zilizomfanya boss huyo abadili muelekeo wa maamuzi yake, na hatimae kumpitisha ndugu makamu kwa shingo upande.
Sasa safari hii kuna uwezekano mkubwa wa kumchinjia mbali makamu, ukizingatia ataempitisha safari hii atakuwa na baraka zote za chama kutokana na historia kubwa aliyonayo chamani na pia mzee huyo ndio anaeaminika kuwa ni raisi wa mioyo yao.
Hizi kelele zote zinazojitokeza sasa hivi kutoka kwa mzee huyo, ni mpango mahususi uliopangwa na boss ili kuwaandaa wanachama wao kusaikolojia. Kwani ataporudi chamani itakuwa ngumu kumpinga kutokana aina ya mapambano yake katika siasa.
2025 mzee huyo atapitishwa na makamu atarudi ubeberuni kwa mabeberu kwa hasira na aibu.
Lisemwalo lipo na kama halipo basi linakuja.
Kwahiyo 2020 aligombea ubunge au uraisi?Kwanza Lissu hanaga moto wa urais au uongozi sawa unavyotaka kutuamisha.
Lissu anapenda sana ubunge na aliwahi kukiri kwa kinywa chake.
Pili Lissu na Slaa ni marafiki wakubwa sana.
Slaa alipoondoka chamani na Lowassa kupewa nafasi Lissu aliingiwa na ukimya mkubwa sana.
Maneno mengi lkn hayana uwezo wa kumfanya mtu mwenye akili timamu kama mimi ayaamini. Kwa aina hii ya uandishi ni wazi kabisa kwamba hata bandari yenyewe haujui iko wapi achilia mbali porojo za kujifanya msafiri.Wewe umefika bandarin Mimi nafanya biashara ya inahusisha bandari Zaid ya miaka 25 sasa. Nimesafir nchi nyingi kwenye bandar nyingi coz of My business. Ila nachotaka kusema ni kuwa kuitoa bandari kwa mkataba ule ni big no ni punguani tu anaweza kufanya hayo madudu. Hakuna mtu anakataa wawekezaji shida ni mkataba Mzee. Bro nchi haiwez kugawa hela mpaka useme wewe unanufaika na nini. Ni jukum lako kuziona fursa na kupambana mtoto wa kiume acha kulegea. Eti bandari inanufaishaje nchi so hao wanaopaswa kuisimamia ili tuone manufaa yake kama wameshindwa si waachie ngaz waje wanaoweza? Yaan tumekupa mamlaka yote unashindwa kuyatumia unaenda kumpa mtu mgen simpo coz umeshindwa bure kabisa. Hawa watu bora wazee wao wangevaa condom tu wangetusaidia sana. Hiv unajua Singapore imeendelea kwasababu ya bandari tu.
Unasema gazeti halafu umelirudia kuandika. Umesema huwez kutumiwa lakin ushatumika tayar. Naona ushachagua upande tusipoteze muda hatuwez kutumia muda mwingi kumuelewesha mjinga mmoja aliyegoma kuelewa.Maneno mengi lkn hayana uwezo wa kumfanya mtu mwenye akili timamu kama mimi ayaamini. Kwa aina hii ya uandishi ni wazi kabisa kwamba hata bandari yenyewe haujui iko wapi achilia mbali porojo za kujifanya msafiri.
Mtu aliesafiri nchi mbali mbali hawezi kuambiwa kwamba mkataba au kitu fulan hakifai bila kuoneshwa kwa macho kile kisichofaa ili ajiridhishe kuwa kile alichoambiwa ni kweli.
Anyway mimi sio mtu wa kushikiwa akili au kufanywa spika la propaganda za wakwepa kodi wa bandarini. Maana mwisho wa siku utajikuta unatumiwa afu wanufaika na watoto wao wanakuona wewe poyoyo lao.
Ili nikubaliane na kile ulichoandika hapa naomba uniwekee mkataba hapa ili nione ubaya na kasoro zake. Ila kama ni bla bla za kuandika maneno mengi utafikiri gazeti. Ndugu yangu utakuwa unapoteza muda wako bure maana mimi sio type ya watu wanaoambiwa na wakwepa kodi, wachumia tumbo au wanasiasa fulani, afu eti na mimi nianze kukurupuka bila kuwa na uhakika kupitia macho yangu mwenyewe.
Never.