Uchaguzi 2025, huyu mzee anazidi kumtia makamu tumbo joto

Mpango atatuchelewesha sana .....mama pia amepata sanaa....marope hatufai mwigulu jeuri.....nepi hamnazo......sasa twende na Mpina maamuzi magumu
 
What a waste of precious time, space and energy?
 
Lakini katika ngonjera zote ulizoandika humu hujaeleza nafuu ya Samia ipo wapi, iwe ni huyo makamu au yule mzee kugombea 2025?
 
Mzee wa kobaz unahangaika sana na wakatoliki,walikufanya nini?au walikuzalisha wakakutelekeza?achana na udini kenge wewe
 
2025 Dr. Mihogo atakuwa na umri wa miaka 90. Je, bado anafaa kuwa Rais?
 
CHADEMA kwa 2025 hawana namna zaidi ya kuwapigia magoti Ndugai, Mnyeti au Polepole kugombea urais kupitia chama chao. Kwa Arumeru Magharibi lazima watamwomba Ole Sabaya agombee ubunge.
 
Slaa is a spent force.
Nchimbi is too old.
Siemens siioni madukani.

Kipara Ole maropes is our man.
 
CHADEMA kwa 2025 hawana namna zaidi ya kuwapigia magoti Ndugai, Mnyeti au Polepole kugombea urais kupitia chama chao. Kwa Arumeru Magharibi lazima watamwomba Ole Sabaya agombee ubunge.
😆😆😆
 
Mpango atatuchelewesha sana .....mama pia amepata sanaa....marope hatufai mwigulu jeuri.....nepi hamnazo......sasa twende na Mpina maamuzi magumu
Mama ndio kashika mipini yote miwili ya uenyekiti na uraisi. Kwahiyo hakuna wa kuvutana nae.
 
Lakini katika ngonjera zote ulizoandika humu hujaeleza nafuu ya Samia ipo wapi, iwe ni huyo makamu au yule mzee kugombea 2025?
Yeyote atakaegombea atampa nafasi Samia ya kushinda uraisi mchana kweupe. Labda watamshinda kwa kubwabwaja jukwaani, lkn kwa vitendo wataangukia pua maana hakuna cha maana walichofanya kwenye majimbo yao na vyama vyao.

1. Lisu ashakuwa mbunge wa kwa zaidi ya miaka 15, pamoja na kupokea mamilioni ya shilingi kwa kila mwezi mmoja, lkn ameshindwa kutoa hata milioni moja tu katika mshahara wake kuwashukuru wapiga kura wake japo kwa kuwachimbia kisima cha maji au kununua tofali za shule. Yani inamaanisha watu walikuwa wanampigia kura ili yeye ale na familia yake tu. Kwahiyo huyu anaangalia zaidi tumbo lake na shida zake tu, hana muda na matumbo ya wapiga kura wake shida zao.

2. Huyu nae toka azaliwe hadi leo ni zaidi ya miaka 70, ashakuwa miongoni mwa viongozi wa dini lkn hakuna chochote cha maana alichofanya kuwasaidia waumini wake.
Kahamia kwenye siasa huko nako kashika mamilioni ya shilingi kupitia siasa lkn pia hakuna cha maana alichofanya jimboni kwake kama mbunge. Kwahiyo na yeye hana jipya ni miongoni mwa wapigania matumbo yao na familia zao. Hana uchungu wa kweli na watanzania.

Kubwabwaja kwao kusikuhadae ukaendelea kutumiwa kama daraja kwa faida zao na familia zao. Shtuka ndugu.
 
Msihamishe magoli,bandari zetu bandari zetu bandari zetuuuuuuuuuuu
 
Muhimu kwanza ni bandari mkuu mengine yoote ni baadae. Bandari ikienda tumepigwa mande hamtaamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…