Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mimi siwezi kulichagua jimama hata nishikiwe bastolaNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Solution ni kuiweka CCM pembeni ili nchi iponeNaona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
Ni kweli , Samia kutaka kupata nafasi ya Rais Uchaguzi ujayo kwa kutumia mbinu ya kumchafua Hayati Magufuli kwa kweli haipedezi, Japo kweli Magufuli ana makandokando yake mengi lakini Watanzania wa Leo siyo wajinga wa kuhadaiwa kwa mbinu hiyo, aachane nayo kabisa maana ataanguka vibaya kwani Magufuli pamoja na yote hayo aliacha mambo mengi yenye kuacha alama na kila mtu anayaona mpaka sasa. Samia aangalie asije akawa mmoja wa ma Rais waliofeli Vibaya katika historia ya utawala WA serikali hii.Naona anataka kuwaaminisha watanzania kuwa na yeye pia ni rais wa Wanyonge.
Eti atakuwa anasikiliza wanannchi mmoja mmoja kero zao.
Mbona alipochukua urais wa kurithi hakufanya haya mapema?
Akakumbatia kundi la wahuni? Alipoona hakubaliki akamteua Dotto Biteko kuwa naibu waziri mkuu. Akaona haijakubalika akamteua Makonda kuwa msemaji wa CCM
Makonda akaleta zile Style za hayati ili kuwahadaa watanganyika ili wamkubali Mama.
Hiii sio solution
2015 tungeiweka ccm pembeni, lowasa angeiponya nchi?!Solution ni kuiweka CCM pembeni ili nchi ipone
Hapana2015 tungeiweka ccm pembeni, lowasa angeiponya nchi?!
Amefeli mara ngapi?Ni kweli , Samia kutaka kupata nafasi ya Rais Uchaguzi ujayo kwa kutumia mbinu ya kumchafua Hayati Magufuli kwa kweli haipedezi, Japo kweli Magufuli ana makandokando yake mengi lakini Watanzania wa Leo siyo wajinga wa kuhadaiwa kwa mbinu hiyo, aachane nayo kabisa maana ataanguka vibaya kwani Magufuli pamoja na yote hayo aliacha mambo mengi yenye kuacha alama na kila mtu anayaona mpaka sasa. Samia aangalie asije akawa mmoja wa ma Rais waliofeli Vibaya katika historia ya utawala WA serikali hii.
Tuliiweka pembeni, lakini wazee wa viapo wakapita nayo2015 tungeiweka ccm pembeni, lowasa angeiponya nchi?!
Wewe unaamini lowasa angeiponya nchi?Tuliiweka pembeni, lakini wazee wa viapo wakapita nayo
Why not?Wewe unaamini lowasa angeiponya nchi?
Mama hahitaji kura yako wala ya wenzako. kura zetu na za wenzetu zinatosha hadi zinamwagikaMimi siwezi kulichagua jimama hata nishikiwe bastola
Rasilimali akili za kuiweka CCM pembeni bado hazijazaliwaSolution ni kuiweka CCM pembeni ili nchi ipone
Kama ndivyo, basi ni heri ccm watawale milele.Why not?
Ni mtazamo wako kama ilivyo tofauti na mitazamo ya wengine.Kama ndivyo, basi ni heri ccm watawale milele.