UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

Sina hakika kama ana mtoto au hana, lakini mume anaye.
Mume hah ha ha .jina la huyo mume wa Halima Mdee Anaitwa Nani? Uwiiiii

Au aliye karibu na Halima Mdee amuulize munewe Anaitwa Nani?
 
The sad story ni kuwa hawa wanatafuta political mileage and bargaining power tu ili baadae wahamie chama dollar ...
 
Mume hah ha ha .jina la huyo mume wa Halima Mdee Anaitwa Nani? Uwiiiii

Au aliye karibu na Halima Mdee amuulize munewe Anaitwa Nani?
Yowe la nini sasa! Halima hawezi kuolewa?!
 
Kwa sasa mnamuita ''jabali'' lakini baada ya muda mtakuja tena hapa Jamiiforums mkimzodoa na kumtukana baada ya kuunga ''juhudi'' au kuwa ''inactive''!

Hakukuwa na umuhimu wa kutuambia kabila lake labda kama na wewe una fikra za kikabila kabila! Ninajua kwa nini umefanya hivyo kwa sababu CHADEMA inatuhumiwa kwa kubeba fikra za kikabila!

Ninajua kwa nini mmechagua wa kutoka kanda ya Ziwa! Pamoja na malengo yenu ya kisiasa yaliyopelekea ''kuteua'' Mwenyekiti wa BAVICHA kutoka kanda ya Ziwa lakini ni ukweli kuwa kanda ya Ziwa kwa sasa imeishatoka mikononi mwa wapinzani ukiachilia maeneo machache kama Tarime hasa Sirali.

Hii inatoa picha na ishara kuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa sasa hatatoka katika Kanda ya Ziwa! Katibu Mkuu wa sasa, Mashinji ambaye anatoka kanda ya Ziwa ajiandae kurudi kwenye taaruma yake!
 
Akapambane na fashisti mbowe
 
Hahahaaaa....... Hahahaaaa........ Hata Patrobas Katambi alikuwa ni msukuma kutoka kanda ya ziwa bwashee Molemo!
 

KAMA NI KIJANA MAKINI...

Pambalu simfahamu. Lakini kama ni kijana makini hatosalia huko CDM. Atahamia CCM muda mwafaka. Muda tutaongea.
 
Hahahahaaa kwenye hilo kapu..Huyu dogo zero ndio mmeona atawavusha
 
kwahiyo amechaguliwa kisa amekulia kwenye mikono ya Mbowe?

kweli Mbowe ni mmliki halali wa saccos ya Chadema
 
Kwa system hii ilitakiwa mtukutu mdude tu ambae haogopi !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…