Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,777
- 2,392
.............halisikii dawa!Kama ni kweli, basi sikio la kufa....
CCM has never before stooped so low!
.............halisikii dawa!Kama ni kweli, basi sikio la kufa....
Zipo tetesi kuwa CCM ina mpango wa kutuma makada wake mashuhuri Mhe Rostam Aziz na Mhe Andrew Chenge kwenda kuokna jahazi la CCM katika kampeni za ubunge Jimbo la Busanda. Sifa yao kuu ni kwa kuwa wanatoka kanda ya Ziwa na ni matajiri wakuawa. Je itasaidia?
.............halisikii dawa!
CCM has never before stooped so low!
Nakumbuka lile sakata la ufisadi wa jengo la UVCCM ambapo Kikwete aliamua kuunda tume ya watu watatu kuchunguza tuhuma za ufisadi ule na kumpa wenyekiti wa tume ile fisadi Chenge na hadi hii leo hatujasikia chochote kuhusu ripoti ya tume iliyoundwa. Hivyo CCM wanavyotapatapa sasa hivi wanaweza kabisa kuwapeleka hao mapapa mafisadi ili wakamwage vijisenti maana fulana zao na matandiko waliyowahonga wapiga kura inaelekea hayajakonga nyoyo za wapiga kura wa Busanda.
Kwa msimamo wa CCM sasa hivi, wengi tunajiuliza kuwa hivi kinasimamia nini kiitikadi.Lazima wanachama waelewe wanachagua nini hasa.
kutishia kujamba wakati unaharisha ni ujinga
Itikadi ziko mbili tu:
1. Tetea ufisadi na mafisadi kwa manufaa ya chama hata kama ikibidi kufa au kuua au kusababisha hali ngumu ya maisha.
2. Kumbuka namba 1 hapo juu
hahahahahamjomba zile nyimbo za papa na nyangumi ziliimbwa vizuri sana, nasikia watu wako walizifurahia sana hasa kile kiitikio cha joel bendera,lakini kutishia kujamba wakati unaharisha ni ujinga. Siku hizi wamepata mbinu mpya mjomba, tena ilikujipatia umaarufu wanalazimisha kuweka jina la rostam kwenye kila tundiko, nadhani wanajua wanachokifanya tena wameadhimia kutupoteza na vita vya mafisadi vishindwe, lakini unajua dalili zao mjomba?nikipata vocha nitakupigia mjomba...
RA aliingia kimya kimya Busanda na kumwanga fedha kufanikisha ushindi wa Bibie ambaye wengi wanasema ilipata ushindi wa kura za maoni kwa kupitia mngongo wa Katibu mkuu na kuwashinda Bwana Donald Max na yule kibaraka wa Dialo huku wengi wakitegemea Max ashinde akambulia nafasi ya pili.
RA ikabidi atumwe kwenda kumkatia Max ambaye tayari alishaweka makundi hivyo kuhatarisha ushindi wa CCM kama kipande hiki kinavyothibitisha
"Kutokana na makubaliano hayo CCM kiliagizwa kusaka fedha za kumrudishia Max ambazo zililetwa na mbunge mmoja wa Kanda ya Magharibi, ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu, ambaye imeelezwa aliingia Geita kimya kimya na kufanya mazungumzo naye."
Hata hivyo RA alikuwa analalamika kuwa kuna baadhi ya viongozi wamemtenga sijajua kwanini (papa)?
news baadhi ndio hizo