Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Burn wee, acha kabisa ndugu yangu maana tutaonekana sisi wa Tabora kuna vitu kwenye CPU yetu kinakosekana.
1. Umoja wa vijana wa CCM Tabora wametutia aibu.
2. Rostam Aziz anatutia aibu.
3. Seleli alimfunga Rage ili asishinde uchaguzi.
4. Tabora ni Mkoa masikini. Tangu Tabora Jazz ife, Tabora imesimama palepale.
5. Mjini kuna baraara tano tu za lami/Hata airport ya Vumbi,
6. Pamoja na watu kuwa na vyeo vikubwa kiserikali, hakuna wanalofanya.
Mengine ongeza mwenyewe. Sasa bado unakaa na kusema Upinzani wavivu? Nashindwa kuelewa kwa nini Tabora isiwe na wapinzani kwani CCM haijafanya kitu toka enzi mie niko shule ya msingi Sikonge.