Hiyo ndo potilikis sasa jamani si lazima watu watumie kila mbinu ili kushinda?sioni ubaya wa kutumia kisukuma jimboni kwa wasukuma.
kwani kuna ubaya kuwa n akadi ya kijani?
Tatizo wamejazwa na fikra za siasa za kichama tu, hawafikirii mabadiliko bali kila kukicha wanawaza vyama vyao.
You are wrong Madam, infact very wrong! Kisukuma si lughaya Taifa, sheria zinataka tutumie lugha ya Taifa, ndo maana nasema CCM wameharibu uchaguzi na uchaguzi umekuwa batili (ikiwa watashinda) maana wamevunja sheria za uchaguzi. Pili, Mama nakukumbusha tu kuwa CCM ndo wanaojidai kuwa wamejenga Utaifa na kufuta Ukabila; hii ni CCM ile-ile au tuitegemee nyingine! NAogopa sana Mama, mwendo huu si mzuri. Mimi siamini ushindi kwa gharama yoyote hata kwa kwenda kinyume na misingi ya umoja wetu ati Chama fulani kishinde hasa Chama Tawala. Ni hatari kubwa!
You are wrong Madam, infact very wrong! Kisukuma si lughaya Taifa, sheria zinataka tutumie lugha ya Taifa, ndo maana nasema CCM wameharibu uchaguzi na uchaguzi umekuwa batili (ikiwa watashinda) maana wamevunja sheria za uchaguzi. Pili, Mama nakukumbusha tu kuwa CCM ndo wanaojidai kuwa wamejenga Utaifa na kufuta Ukabila; hii ni CCM ile-ile au tuitegemee nyingine! NAogopa sana Mama, mwendo huu si mzuri. Mimi siamini ushindi kwa gharama yoyote hata kwa kwenda kinyume na misingi ya umoja wetu ati Chama fulani kishinde hasa Chama Tawala. Ni hatari kubwa!
Hivi hakuna hoja za maana hadi mtu ung'ang'anie kuwa wapinzani watashindwa kwa sababu CCM wametumia kisukuma kwenye kampeni? kueni jamani miaka 17 imepita tangu 1992 mnapaswa kujua mnajukumu zitto la kuwakomboa watanzania. Ipo siku mtakuja kuwajibu watanzania hiyo ruzuku mnatumiaje.
Uchaguzi Busanda ni batili Chadema wameu haribu kwa sababu zifuatazo;
1. Mh Zitto Zubeir Kabwe akiwa mbunge Bunge la JMT amechoma batili cha chama cha mapinduzi hadharani.
2. Mh Zitto amekuwa akinukuriwa katika mikutano yake ya hadhara akichochea uvunjifu wa amani na kutoa kashfa akiwa pamoja na kumuita Waziri mkuu mstaafu na makamu wa Rais wa JMT na Mbunge wa Bunge la JMT Mh John Malecela kuwa ni kibajaji nk
3. Chadema wameingiza kutoka Tarime kundi la wafanya fujo ambao wamekuwa wakiendesha matukio ya kuhatarisha amani huko Busanda.
4. Chadema wamekuwa wakihamasisha wahuni kwenda kwenye mikutano ya CCM na kuzomea viongozi wa juu wa chama hicho ikiwa ni pamoja na kuwarushia mawe.
5. NK
Burn wee, acha kabisa ndugu yangu maana tutaonekana sisi wa Tabora kuna vitu kwenye CPU yetu kinakosekana.
1. Umoja wa vijana wa CCM Tabora wametutia aibu.
2. Rostam Aziz anatutia aibu.
3. Seleli alimfunga Rage ili asishinde uchaguzi.
4. Tabora ni Mkoa masikini. Tangu Tabora Jazz ife, Tabora imesimama palepale.
5. Mjini kuna baraara tano tu za lami/Hata airport ya Vumbi,
6. Pamoja na watu kuwa na vyeo vikubwa kiserikali, hakuna wanalofanya.
Mengine ongeza mwenyewe. Sasa bado unakaa na kusema Upinzani wavivu? Nashindwa kuelewa kwa nini Tabora isiwe na wapinzani kwani CCM haijafanya kitu toka enzi mie niko shule ya msingi Sikonge.
Hiyo ndo potilikis sasa jamani si lazima watu watumie kila mbinu ili kushinda?sioni ubaya wa kutumia kisukuma jimboni kwa wasukuma.
. Sasa bado unakaa na kusema Upinzani wavivu? /QUOTE]
Nasema hayo kwa shingo upande kaka imekuwa ni kawaida kwa wao kutoa visingizio vingine vya kitoto sana, yaani hainiingii akili baada ya miaka 17 bado wanaweza kutoa visingizio kama lugha ndio chanzi cha wao kushindwa uchaguzi. Nadhani ni vyema tukawaambia kuwa wakilipoteza jimbo la Busanda ambalo dalili zote zinaonesha ni la kwao tatizo si CCM ila ni wao wenyewe kuzigawa kura. Ukweli huu hata mtoto wa darasa la tatu anaujua sembuse wao? Pia kunawakati wanajisahau na kudhani wao hawana jukumu lolote kwa watanzania hivyo kutumia muda mwingi kujaribu kuhalalisha kushindwa kwao. Na ni kweli najua matatizo yote uliyoya orodhesha hapo juu yameletwa na uongozi mbovu wa CCM, lakini pia tumewapa kipindi kirefu hawa wapinzani kutukomboa kutoka huko tena kwa gharama zenu hivyo nao wanatakiwa kuwajibika kwa wananchi. Ni kweli tunatambua CCM wanambinu chafu lakini na wao watuoneshe hizo juhudi wanazo fanya kutukomboa.
Mpwa kuna kaukweli kwani?
uchaguzi busanda ni batili chadema wameu haribu kwa sababu zifuatazo;
1. Mh zitto zubeir kabwe akiwa mbunge bunge la jmt amechoma batili cha chama cha mapinduzi hadharani.
2. Mh zitto amekuwa akinukuriwa katika mikutano yake ya hadhara akichochea uvunjifu wa amani na kutoa kashfa akiwa pamoja na kumuita waziri mkuu mstaafu na makamu wa rais wa jmt na mbunge wa bunge la jmt mh john malecela kuwa ni kibajaji nk
3. Chadema wameingiza kutoka tarime kundi la wafanya fujo ambao wamekuwa wakiendesha matukio ya kuhatarisha amani huko busanda.
4. Chadema wamekuwa wakihamasisha wahuni kwenda kwenye mikutano ya ccm na kuzomea viongozi wa juu wa chama hicho ikiwa ni pamoja na kuwarushia mawe.
5. Nk