Huyo Ngeleja ni mpuuzi sana.Kwa kweli hawa ndiyo wanaotufanya vijana tuonekane hewa kabisa.
Nukuu toka upande wa CCM (wenye DOLA ) zimekaa vizuri, Hao wa upande wa pili zao ni kama wanalia vile!
Hii ndiyo siri ya ushindi wa CCM keshokutwaKama ni kweli Wapinzani wamejikita mijini tuu kwa kampeni za mbwembwe nyingi, huku CCM wamejikita vijijini, basi ushindi ni dhahiri kwa CCM.
Naam, kwa maneno mengine zomea zomea itaonekana live!Salaam,
Nawaletea Masaa 48 Muhimu ya kinachojiri Busanda
Chama cha Mapinduzi CCM, kimepania kufanya kufuru ya funga mwaka hapo kesho wakati wa kuhitimisha kampeni za chama chao. Miongoni mwa kufuru hizo ni pamoja na mkutano wao huo wa mwisho, kurushwa moja kwa moja ama na TBC-Taifa ama na TBC-1 ama vyote kwa pamoja katika hali inathibitisha wameamua kufa na kupona kuepuka aibu kama ya Tarime.
Naam, kwa maneno mengine zomea zomea itaonekana live!
TBC is bussiness as usual. CCM wamelipia. Hata Chadema au CUF wakilipia wanarushwa tuu. Wanaojali usawa wa kidemokrasia, wanaona hii siyo haki. The playing ground is not level. Chama kimoja kina pesa za kuaford airtime media zote huku vyama vingine vikilia njaa.Kwanini irushwe na TBC kama kweli ni chombo cha umma? Halafu tunasema tuna demokrasia? Wao si chama tawala sasa kwanini waogope wapinzani wanaodai ni wafu?
Salaam,
Nawaletea Masaa 48 Muhimu ya kinachojiri Busanda
Yanayoanzia leo saa 12 Jioni, Kampeni za Mwisho kesho saa 12 jioni na kuhitimisha kwa zoezi la Upigaji kura Jumapili saa 12 Jioni.
Baada ya Masaa haya 48, mchezo unakuwa umekwisha na kinachofuatia ni matokeo tuu.
Nimeanza siku kwa kubisha hodi kwa Mwenyeji, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Kandoro, alitoa hakikisho la hali ya amani na utulivu kutawala.
Alivishutumu baadhi ya vyombo vya habari, kushabikia uchaguzi wa Busanda hivi kuandika habari kwa sensational na wakati mwingine mpaka kutia Chumvi.
Kuhusu wakuu wa wilaya kuonekana wakijivinjari vinjari maeneo ya kampeni, Kandoro amewatetea kuwa kwa vile Wakuu wa Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama, hivyo ni jukumu lao kupita pita maeneo ya kampeni kujiridhisha na hali ya usalama.
Pia nikamsalimia Kamanda Polisi Mkoa aliyetoa hakikisho la usalama kwa kumwaga polisi wa kutosha Busanda ili watu wapige kura kwa amani. Pia alisema ni polisi tuu na sio askari wa kutuliza ghasia wala yale magari ya deraya.
Nimetinga Geita kumsalimia Msimami wa Uchaguzi wa Busanda, amesema vifaa vyote vimekamilika na kesho ni kuvisambaza vituoni tayari kwa upigaji kura.
Msimamizi amethibitisha ni CCM pekee ndiyo iliyowasilisha mawakala kwa ajili ya kuapishwa. Chadema wamewasilisha majina tuu. Vyama vingine vimepewa leo ndio siku ya mwisho kuwasilisha mawakala.
Imethibitika baadhi ya vyama vimeleta wapiga debe mamluki ambao kazi yao ni kuhudhuria mikutano ya kampeni ya vyama pinzani kwa lengo la kuzomea.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Lewis Makame na Mkurugenzi wa Uchaguzi Rajabu Kiravu wako usawa wa Busanda.
Chama cha Mapinduzi CCM, kimepania kufanya kufuru ya funga mwaka hapo kesho wakati wa kuhitimisha kampeni za chama chao. Miongoni mwa kufuru hizo ni pamoja na mkutano wao huo wa mwisho, kurushwa moja kwa moja ama na TBC-Taifa ama na TBC-1 ama vyote kwa pamoja katika hali inathibitisha wameamua kufa na kupona kuepuka aibu kama ya Tarime.
Vitongoji vyote vya mjini Busanda ni vigenge vigenge vya kampeni na kwa maoni yangu, watu wa mjini Katoro wanaone kuushabikia sana upinzani haswa umati unaojitokeza kuja kushangalia Helkopta, ikumbukwe hawa ni washabiki tuu na sio wapiga kura.
Kama ni kweli Wapinzani wamejikita mijini tuu kwa kampeni za mbwembwe nyingi, huku CCM wamejikita vijijini, basi ushindi ni dhahiri kwa CCM.
Ila kama watu wa Busanda nao wameisha amka kama wenzao wa Tarime kutosikiliza tambo na ahadi kemkem zisizotekelezwaga, CCM itaangukia pua na huu uchaguzi utakuwa ndio kipimo cha anguko kuu zaidi kwa CCM mwaka 2010 kuwa Watanzania wakiamua wanaweza kusema hapana!.
Ukinisoma vizuri in between the lines nimesema amaNaam, kwa maneno mengine zomea zomea itaonekana live!
Salaam,
Nawaletea Masaa 48 Muhimu ya kinachojiri Busanda
Yanayoanzia leo saa 12 Jioni, Kampeni za Mwisho kesho saa 12 jioni na kuhitimisha kwa zoezi la Upigaji kura Jumapili saa 12 Jioni.
Baada ya Masaa haya 48, mchezo unakuwa umekwisha na kinachofuatia ni matokeo tuu.
........Chama cha Mapinduzi CCM, kimepania kufanya kufuru ya funga mwaka hapo kesho wakati wa kuhitimisha kampeni za chama chao. Miongoni mwa kufuru hizo ni pamoja na mkutano wao huo wa mwisho, kurushwa moja kwa moja ama na TBC-Taifa ama na TBC-1 ama vyote kwa pamoja katika hali inathibitisha wameamua kufa na kupona kuepuka aibu kama ya Tarime...................QUOTE]
Kweli hiyo ni kufuru! Nawasikitikia CCM na ulimbukeni wao. Yaani miaka 50 madarakani bado hawajui mwananchi wa Busanda anataka nini! Sasa hayo matangazo ya live ya TV (TBC1) yanamnufaisha nini Mwana Busanda? Nadhani kwa kufanya hivyo CCM watakuwa wanatangaza mwisho wao; yawezekanaje wanavijiji wasio na umeme na ambao wanalipa shilingi 200 kuchajisha simu kwa wenye Jenereta wakalipie matanfazo ya Kampeni za CCM kupitia TBC1? Mechi za mpira wanalipia (burudani) sasa kampeni nazo watalipia? AU Mafisadi wamemwaga Jenereta na TV kibao huko Busanda!
Uchaguzi wa Busanda, kampeni wapigiwe watu wa Kakonko! Kweli ifikapo 2010 tutashuhudia na kuona mengi; Mungu atupe uhai.
Imethibitika baadhi ya vyama vimeleta wapiga debe mamluki ambao kazi yao ni kuhudhuria mikutano ya kampeni ya vyama pinzani kwa lengo la kuzomea
Wapinzani wamejikita mijini tuu kwa kampeni za mbwembwe nyingi, huku CCM wamejikita vijijini, basi ushindi ni dhahiri kwa CCM
Vitongoji vyote vya mjini Busanda ni vigenge vigenge vya kampeni na kwa maoni yangu, watu wa mjini Katoro wanaone kuushabikia sana upinzani haswa umati unaojitokeza kuja kushangalia Helkopta, ikumbukwe hawa ni washabiki tuu na sio wapiga kura