MpigaFilimbi
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,169
- 188
Polisi zaidi wamwagwa
Gari la maji washa lapelekwa
Wakati wananchi wa jimbo la Busanda, wilayani Geita, Mkoa wa Mwanza kesho wanapiga kura kumchagua mbunge wao, Jeshi la Polisi limeimarisha ulinzi kwa kupeleka magari maalum yenye maji ya kuwasha na kuongeza askari dunia kutoka 113 hadi 183 kwa ajili ya kulinda usalama katika uchaguzi huo.
Chamzo kingine kimeripoti kuwa mabasi manne yenye askari polisi yamewasili Busanda kwa vitisho na mbwembwe nyingi.
Tujiulize: Huu ni uchaguzi wa kidemokrasia au ni vita? Kama haya yanafanyika katika uchaguzi mdogo, uchaguzi mkuu itakuwaje? Mbona katika maafa ya kweli kweli askari hawa hatuwaoni?

Serikali inawajibika kuweka ulinzi wa kutosha hasa katika wakati huu wa kushindania kura.
Tuwaache watendaji wa serikali wafanye kazi yao.
Mbona tuna vibaka kila siku hapa Dar lakini polisi hawafanyi kazi yao? una maana kazi yao iko Busanda tu? Mbona kuna EPA na hawafanyi kazi yao, au utendaji wao unatakiwa kuonekana wakati kama huu tu!

Zoezi la upigaji kura limeanza tangu saa moja asubuhi.
Mpaka sasa hali ni swari. Mawakala wa CUF na UDP waliosimamishwa wameleta kizaazaa baada ya kutojulishwa na wakuu wao kuhusu kusimamishwa kwao kwani kulitangazwa jana usiku kupitia vyombo vya habari wao hawakusikia hivyo asubuhi ya leo walibaki wakishangaa.
Baadhi ya vituo watu wenye elemavu wa kotoona au kutosikia bado hawajapata usaidizi.
Tume ya Uchaguzi bado haijawalipa wasimamizi wa uchaguzi hivyo zoezi limeanza kwa njaa kali.
Lakini mkuu, unadhani kwua hali ya Busanda inahitaji askari wote hao?Kuwepo ulinzi wa kutosha kwa wananchi wa Busanda ni muhimu sana katika kipindi cha uchaguzi.
Serikali ina kila sababu ya kupeleka wanausalama kwa idadi yeyote inayoona inafaa kwani lolote litakalo tokea yenyewe ndiyo itakayowajibika.
Tuiwache serikali ifanye kazi zake.
Zoezi la kupiga kura linaendelea vizuri, mpaka sasa kuna kina dalili ya uchaguzi huru na wa haki.
Kumekuwepo matatizo madogo ya hapa na pale.
Kwenye baadhi ya vituo, watu wenye ulemavu wa kutoona na kutosikia walishinda vituoni kwa muda mrefu kabla ya kupatiwa msaada.
Kuna baadhi ya wapiga kura number za shahada zao zimetofautiana na zilizoko kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Kuna kiongozi mmoja wa CCM alikuwa akisambaza bure nakala za gazeti la Hoja lililo ichambua Chadema. Polisi waliliona hili na kulishughulikia.
Zoezi la kupiga kura linaendelea vizuri, mpaka sasa kuna kina dalili ya uchaguzi huru na wa haki.
Kumekuwepo matatizo madogo ya hapa na pale.
Kwenye baadhi ya vituo, watu wenye ulemavu wa kutoona na kutosikia walishinda vituoni kwa muda mrefu kabla ya kupatiwa msaada.
Kuna baadhi ya wapiga kura number za shahada zao zimetofautiana na zilizoko kwenye daftari la kudumu la wapiga kura.
Kuna kiongozi mmoja wa CCM alikuwa akisambaza bure nakala za gazeti la ja lililo ichambua Chadema. Polisi waliliona hili na kulishughulikia.
Unasema uchaguzi ni wa huru na wa haki matokeo yakitangazwa wewe wa wanazi wenzio mtakuja na hoja ya kuibiwa, sijui polisi nk.
Chadema hamna kitu ni bunch la bad loosers!
Masatu, Umetoka pombe shop?