Uchaguzi CCM: Marufuku kuchukua fomu kama huna Cheti cha Taaluma

Status
Not open for further replies.
Mbowe anakuzidi kila kitu amesoma Uingereza ambako ukoo wenu wote hakuna aliyewahi kusoma zaidi mnaishia Udom mpuuzi wewe, acha kudharau watu, pia ana wazidi utajiri ukoo wenu wote
Mwenyekiti alishawakataza kutukana watu, mimi simthamini Freemason Mbowe kwa elimu wala utajiri wake, bali namkubali na kumuheshimu kwa sababu ni genius.

Zitto Kabwe anamzidi vyeti vya academic Mbowe haina maana Zitto ni zaidi ya Mbowe.

Vijana wa Chadema mjifunze kusikia msiyopenda kuyasikia na usirupuke tu kukashifu watu huenda wakati sisi tunakwenda kucheza disco kwenye club yake ulikuwa hujazaliwa.

Mbowe ameajiliwa BOT kama karani akiwa amemaliza form six ya zamani.
 
Kumbe ukweli unaujua vizuri, sasa unasemaje Mbowe hajasoma na wakati unakiri kuwa alimaliza F6 enzi hizo na mwaka 2006 alienda kusoma Uingereza?
 
Katibu hana mamlaka hayo, mnajaza uchafu tu JF.

Mkutano mkuu wa ccm uliokutana Dodoma ndio uliopitisha kanuni za uchaguzi, hizi zingine ni porojo tu.

Wewe unadhani mikataba yote ya hovyo nchi hii waliingia walioishia darasa la saba au secondary school?
Kwahiyo Katibu Mkuu na yeye ameanzisha zengwe jingine la kuwaengua watu bila kufuata utaratibu??
Yaani KM ametoa maelekezo bila kujua kanuni zao zinasemaje, basi ipo shida kubwa ya kiuongozi huko CCM.
 
Mama Samia hongera sanaaaa kwa hili, na Katibu Mkuu wetu hongera sana. Ukiweza chukua watu makini, wenye vyeti vya taaluma, CCM itakuwa mpya mpyaaa kabisa. Tumechelewa kwenye hili sana, ila bora muanze sasa hivi, hapa mtawatoa wale wazugaji na wapiga debe na wasio na uwezo wowote katika uongozi wa Chama chetu, CCM itakuwa CCM Daima na milele sasa.

Vyeti muhimu sana, sbb Chama kinahitaji watu wenye IQ nzuri kuongoza wanachama katika ngazi mbali mbali na matatizo mengi mno yatapungua.
 
MKUU

Vyama vikuu viwili
Vimeshapoteza muelekeo

Vitafutwa vizaliwe vipya
Ambavyo vitafundisha uzalendo!

Tuvisubiri
unaota mkuu,hivi unajua marekani republican na demoratic wameanza lini? The same kwa uingereza na German.
 
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.

Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti vyake vya taaluma (form 4, form 6 na Chuo) na Mgombea asiyeambatanisha, fomu yake isipokelewe.

Inaelezwa kwamba mpango huu una lengo la kupunguza "wapiga debe" ndani ya Chama na kuweka Wasomi wenye uwezo wa Kupambanua Mambo.

Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.
Haya ni maboresho ya Dk. Bashiru. Ahsante sana dokta!
 
Hivi unafahamu Sugu ni form four lakini anawazidi kwa mbali sana wasomi bingwa kama kina Dr Mwakyembe?

Tanzania hatuhitaji vyeti bali tunahitaji watu wenye akili kichwani vyeti ni nyongeza tu ya maarifa.

Degree na intelligent ni vitu viwili tofauti kabisa.
Sisi ambao hatuna shule (la saba na fomu 4) tunajua sana kujifariji.
Ila ukweli ni kwamba wasomi wapewe nafasi zao.
 
Katibu hana mamlaka hayo, mnajaza uchafu tu JF.

Mkutano mkuu wa ccm uliokutana Dodoma ndio uliopitisha kanuni za uchaguzi, hizi zingine ni porojo tu.

Wewe unadhani mikataba yote ya hovyo nchi hii waliingia walioishia darasa la saba au secondary school?
Kwa kuishikilia nukta hii ni either hauna hizo sifa tajwa or kuna mtu unamsupport ila hana hizo sifa tajwa...moja kati ya hizo nadharia mbili inahusika hususani hiyo ya pili.
 
Hivi elimu ya huyu mh. mbunge ikoje?
mwananchi_official~p~Cd5XZYMNMNc~1.jpg
 
Kwa kuishikilia nukta hii ni either hauna hizo sifa tajwa or kuna mtu unamsupport ila hana hizo sifa tajwa...moja kati ya hizo nadharia mbili inahusika hususani hiyo ya pili.
😂😂😂
 
Siku chache baada ya kuripotiwa sakata la kukatwa ovyo kwa Majina ya wagombea ndani ya CCM bila kufuata utaratibu huko Ilala mapya yaibuka.

Inaelezwa kwamba Makatibu wote wa Mikoa na Wilaya "wamepewa Maagizo" na Katibu Mkuu Chongolo kuhakikisha kila anayegombea anaambatanisha Kopi za Vyeti vyake vya taaluma (form 4, form 6 na Chuo) na Mgombea asiyeambatanisha, fomu yake isipokelewe.

Inaelezwa kwamba mpango huu una lengo la kupunguza "wapiga debe" ndani ya Chama na kuweka Wasomi wenye uwezo wa Kupambanua Mambo.

Pia hii itasaidia Mamlaka za Uteuzi Serikalini kuwateua makada wenye sifa katika nafasi nyeti serikalini.
Mbona uchaguzi umekaribia kwisha , huko walikofanya uchaguzi watarudia ?
 
Mama Samia hongera sanaaaa kwa hili, na Katibu Mkuu wetu hongera sana. Ukiweza chukua watu makini, wenye vyeti vya taaluma, CCM itakuwa mpya mpyaaa kabisa. Tumechelewa kwenye hili sana, ila bora muanze sasa hivi, hapa mtawatoa wale wazugaji na wapiga debe na wasio na uwezo wowote katika uongozi wa Chama chetu, CCM itakuwa CCM Daima na milele sasa.

Vyeti muhimu sana, sbb Chama kinahitaji watu wenye IQ nzuri kuongoza wanachama katika ngazi mbali mbali na matatizo mengi mno yatapungua.
Naunga mkono hoja. Chama kinashika dola halafu 70% ya viongozi wake wameishia darasa la 7 au wanajua kusoma na kuandika tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom