UCHAGUZI CHADEMA: Mahojiano ya Mbowe leo Clouds yamesitisha moja kwa moja Mdahalo wa Lissu na Mbowe

Alipokua mnadhimu mkuu mbona hatukuona haya in fact chadema ilipata heshima kubwa sana bunge la 10. Amekua Rais TLS mbona sikuona haya unayodai hapa? Mmempa hadi kugombea urais mbona hatukuona hayo? Leo ameomba fomu ya uenyekiti ndio amekua MROPOKAJI?

It's ironic
 
Tusubiri muda utazungumza but I bet,ikitokea Lissu akitika CDM huo ndio utakuwa mwisho wa CHadema.
Siasa ni nyakati,Kikwete hakuwaha mjinga kumleta Magufuli kipindi kile ilihali Magufuli alionekana kama Kiongozi asiyekuwa na sitaha wala bisara.
 
Hawa wamachame wapumbavu sana wanaona nafasi ya uenyekiti ni kwa ajili ya Sultan Mbowe tu,yaani hawa ni takataka kabisa ndiyo maana hata jamii nyingine ya Wachaga wanawachukia hawa wapalestina.
 
Kamanda Mugabe leo alikua anasoma katiba bila kufafanua 🤣🤣

No army can withstand the strength of idea whose time has come ✌🏻
 
Muda ambao umetumia kuandika utumbo wote huu isi ungeutumia kulala ukue mkuu?
 
Muda ambao umetumia kuandika utumbo wote huu isi ungeutumia kulala ukue mkuu?
Unataka aandike fikra zako KWAKUWA unajiona ww unaakili mmno kuliko wengine kama ulivyofundishwa na tundu
 
Mdahalo huko pale pale,uko ndo tutajua wapi panavuja,woga wa nini!!
 
Unataka aandike fikra zako KWAKUWA unajiona ww unaakili mmno kuliko wengine kama ulivyofundishwa na tundu
Wewe ndiye mwenye akili nyingi ulizofundishwa na Mbowe na Abdul na mama yake. Endelea kuandika nimekuachia uwanja ujimwayemwaye mkuu.
 
Mbowe alionyesha uwezo wake kwenye mdahalo. Lakini je kuwa muongeaji mzuri kuna maanisha uwezo wa ziada kwenye utekelezaji wa mipango ya chama?
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe mna makengeza ya akili. Mtu interview nzima hajaeleza atafanya nini zaidi anaeleza aliyofanya ambayo kila mtu anayajua eti huyo ndiye genius,mahaba yamewapofua macho
Akili ndogo kama Lissu hamuwezi kumuelewa Mbowe. Mnamuelewa Mropokaji Lissu. Mfano, Mbowe muda wote alikuwa ana address; "Mh. Lissu, Mh. Heche,..."!

Lissu Sasa akiwa ana address wenzake utasikia; " Magufuli, Samia, Mbowe,....!" Jinga sana hili takataka!
 

 

 
Vipi amezungumzia lolote kuhusu ganzi aliyodungwa baada ya kutoka jela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…