Leo saa 10,Bunge la katiba litamchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la KATIBA,Wadau mnaombwa kuzingatia uzoefu,uadilifu,ujasiri na DIRA ya mgombea husika.
hakuwa mtu mwenye msimamo, bungeni watu wanabiga kelele bungeni kama wanafunzi wa chekecheaAkishinda, anatakiwa aache legacy, mimi nimsifu mwenyekiti wa muda mzee Kificho kwa alipotufikisha, japo kama binadam alikuwa na mapungufu yake.
Leo saa 10,Bunge la katiba litamchagua mwenyekiti wa kudumu wa bunge la KATIBA,Wadau mnaombwa kuzingatia uzoefu,uadilifu,ujasiri na DIRA ya mgombea husika.
Kivipi mkuuNajua atampiga pin lowassa...cc Pasco wa JF
Somtimes CCM huona mbali sana... walijua kuwa spika wa bunge hatatakiwa kugombea uenyekiti wa bunhe la katiba ss ikabidi wamtoe sita wamuweke reserve ya bunge la katiba... coz hakuna anaye mkaribia sita...
Nasikia kaanguka ni kweli? hebu mlioko dodoma tujuze amejikwaa au mizimu ya wabaya wake imemdhuru?