KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
wanasema ya kaisali na apewe kaisali na ya mungu apewe mungu
Mh Samuel J.Sitta a.k.a CHUMA CHA PUA,Yupo imala kabisa kama unavyomuona hapo ktk harakati za kurudisha fomu za kugombea uenyekiti wa KUDUMU bunge maalumu la KATIBA
kuomba samahani na kutubu makosa yako ndiyo jambo la kistaarabu kwa dunia hii ya leo, hongera sana.nimeisoma dira nilipomaliza nikajiwa na kumbu kumbu za zamani. Samahani kama nimekukwaza.
Ni mwananchi yup kama tulio wachagua wamefika huko tuache walivyo zuzuka na posho na bahasha. Huja sikia kua wanasiasa na vyama vyao wanavyo pigania kataba ya watz igeuke kua ya vyama vyao mpk rasimu feki zimepenya. Na wajumbe ambao sio mlego wao wanabaniwa kusema. Huja msikia Mtikila na Mkosa mali?.Uamuzi sio wa Sitta au Bunge la Katiba. Wananchi ndio watakaoamua kwa kura, kuikubali au kuikataa hiyo Katiba!
Unavyofikiri wewe samweli sita atafanikiwa kuletea katiba mpya kama atakuwa ndiyo amechaguliwa kuliongoza bunge la katiba? Maana wananchi wengi tunataka serikali tatu ila viongozi wa ccm wanataka mbili pia sita aliwahi sema serikali tatu ni ulafi. Tujadili bila chuki binafsi.
Ndiyo maana nimesema wananchi ndiyo watakao chambua mchele na chunya kwa kura zetu! Kama ni Katiba Murua, tutapiga kuikubali na kama ni fake tutaikataa! Au unasemaje!Ni mwananchi yup kama tulio wachagua wamefika huko tuache walivyo zuzuka na posho na bahasha. Huja sikia kua wanasiasa na vyama vyao wanavyo pigania kataba ya watz igeuke kua ya vyama vyao mpk rasimu feki zimepenya. Na wajumbe ambao sio mlego wao wanabaniwa kusema. Huja msikia Mtikila na Mkosa mali?.
Unavyofikiri wewe samweli sita atafanikiwa kuletea katiba mpya kama atakuwa ndiyo amechaguliwa kuliongoza bunge la katiba? Maana wananchi wengi tunataka serikali tatu ila viongozi wa ccm wanataka mbili pia sita aliwahi sema serikali tatu ni ulafi. Tujadili bila chuki binafsi.
Kwanza nianze na hapo uliposema wananchi weng wanataka Serikali 3, ni ukweli ulio wazi kuwa wananchi wengi wanataka huduma bora za kijamii kama Afya, elimu na nyinginezo na ni wanasiasa ndio wanaopigana na ishu za muungano uwe wa namna gani Ukija kwenye issue ya Sitta kama anafaa au hafai siyo siri Sitta Tangu atoswe uspika wa Bunge la Jamhuri amekuwa ni mtu ambaye ni mnafiki na haeleweki.
Kweli mkuu,anatakiwa awaoneshe watanzania kuwa anafaa.[/QUOTE
He will make it for sure, who else? He cannot afford to make mistakes and he knows that the people's support has an important meaning than that from his party!
kuna meseji kuwa ameanguka alipokuwa anakwenda kupeleka fomu je ni kweli?