ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,752
kuna meseji kuwa ameanguka alipokuwa anakwenda kupeleka fomu je ni kweli?
. Hata mm naungana nanyi. Ispo kua nawasiwasi sana kwa jinsi alivyo pitishwa anaweza kua kigeugeu huyo. Na mara nyingi tusiwaamini hawa wa wana siasa wetu ni ndumila kuwili.Naungana na mawazo yenu ya kuwa huyu mzee hii ndio nafasi yake hasa katika kundi lao la wapinga Ufisadi na ambao wanamatumaini ya kubaki ktk system na taasisi ya uraisi 2016.bila ya kuwasahau Mwakyembe na Magufuri wana nafasi kubwa ya kuendesha serikali ijayo.
Nani kakudanganya kuwa wananchi hawahitaji serikali3? Pamoja na kuhitaji huduma hizo za msingi ambazo umezitaja, lakini ukweli ni kuwa wananchi wanahitaji serikali3, siyo tume ya Warioba au Kisanga, maoni yamejirudia, sasa hiyo unayoisema wewe labda kama uko ulaya. Panda boti leo ukifika Zanzibar hata kwenye Grocery halafu sema hizo serikali 1 au 2 usikie moto wake?! 1 hawataki kwa kuwa watamezwa, mbili ndo kabisa wanaona ni ulaghai.
Kuna taarifa kuwa six anaumwa nikwel ?au fix