Uchaguzi huu October 2015, Ni Mahakama ya Kadhi V/S CCM. (Tutaona nani Mshindi).

wananchi wanaijua moja tu katiba inayopendekezwa, ya babu hawaijui hata rangi yake!
View attachment 243719

Sasa kwanini mumewasumbua wananchi na kula hela kibao kumbe mna agenda zenu za siri ukianchana na zile za kikristo za tume. Infact kulikua na strong ant-islam lobby hasa ukizingatia wajumbe wa kiislamu waliku dhaifu sana katika kujenga na kutetea hoja ulinganisha na kina Kabudi.

Tafuta C.V za watu hawa ndio utaelewa naongelea nini?.

Uongozi wa Juu

1. Jaji Joseph Sinde Warioba - Mwenyekiti

2. Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani - Makamu Mwenyekiti.

Wajumbe kutoka Bara

1. Profesa Mwesiga L. Baregu

2. Riziki Shahari Mngwali

3. Dr. Edmundi Adrian Sengodo Mvungi

4. Ndugu Richard Shadrack Lyimo

5. Ndugu John J. Nkolo

6. Alhaj Said El-Maamry

7. Ndugu Jesca Sydney Mkuchu

8. Profesa Palamagamba J. Kabudi

9. Ndugu Humphrey Polepole

10. Ndugu Yahya Msulwa

11. Ndugu Esther P. Mkwizu

12. Ndugu Maria Malingumu Kashonda

13. Mheshimiwa Aly-Shymaa J. Kwegyir (MB)

14. Ndugu Mwantumu Jasmine Malale

15. Ndugu Joseph Butiku

Wengi katika ya hao wenye Majina ya Kiislamu ilikua bora liende wakati wenzao walikua wana agenda Maalum ya kuhakisha kua Mahakama ya Kadhi haiwekwi kwenye katiba!
 
Wewe ni mzimu kweli hata ninapokujibu nafanya makosa makubwa mno kuongea na mzimu wewe unastahili kukemewa. Toka pepo usituchanganye akili. Ushindwe na ukakamae kwa maana umejaa udini tena wa kuzimu. Toka pepooooo!!
 
Halafu wewe mzimu pepo aliyeteua Tume ni mwislam au mkristo. Kweli wewe ni pepo unataka kuharibu amani ya nchi ambayo haina dini ila wana nchi wake wana dini. Au twambie Tanzania ina dini gani. Soma Katiba Inayopendekezwa ukaone uhuru wa kuabudu unaongelewaje. Upo hapo. Nakukemea tena toka peepooo!
 
Hivi huu wazimu wa kusema Mahakama ya Kadhi Vs CCM sijui unatoka wapi..? Hivi kwani mahakama ya kazi inaingiaje kwenye uchaguzi mkuu,kwani ni chama cha Siasa kilichosajiliwa?kwenye orodha ya msajili wa vyama vya siasa kuna mahakama ya kadhi?kama hakuna hii kitu inatoka wapi? Na hata kama ni chama kisingesajiliwa kwa sababu ya kuegemea udini,ubaguzi wa itikadi za dini na mlengo wake wa kuwahudumia watu wa kundi fulani!NASEMA HAPANA KWA MAHAKAMA YA KADHI KUHUSISHWA NA UCHAGUZI MKUU.
 
Duuuu kweli hili ni jini subiani!!!! Hatari hatari tunalikemea kwa nguvu zote!
 
Waambie walioKutuma wakutafutie tender nyingine huku hakulipi kabisaaa maana mambo yadini na serikali yalishazikwa na baba wa taifa.
 
Jitokeze kujiandikisha wakati ukifika kwa ajili ya kupiga kura ya ndio ili tupate katiba mpya,epuka propaganda na fitna toka kwa watu wenye jicho la husda,tanzania kwanza........
 
Taarifa za kuwa waislamu wanataka mahakama ya kadhi ni za kuokoteza kwa kuwa wanaoshinikiza ni watu wachache tu katika uislamu
 
Huo ndio mwisho wa Akili yako katika Mambo muhimu ya kinchi?.
 
Duuuu kweli hili ni jini subiani!!!! Hatari hatari tunalikemea kwa nguvu zote!

Waambie walioKutuma wakutafutie tender nyingine huku hakulipi kabisaaa maana mambo yadini na serikali yalishazikwa na baba wa taifa.

Jitokeze kujiandikisha wakati ukifika kwa ajili ya kupiga kura ya ndio ili tupate katiba mpya,epuka propaganda na fitna toka kwa watu wenye jicho la husda,tanzania kwanza........

Taarifa za kuwa waislamu wanataka mahakama ya kadhi ni za kuokoteza kwa kuwa wanaoshinikiza ni watu wachache tu katika uislamu

Hoja za kitoto katika Mambo Muhimu ya Kinchi?
 
Hivi huu wazimu wa kusema Mahakama ya Kadhi Vs CCM sijui unatoka wapi..? Hivi kwani mahakama ya kazi inaingiaje kwenye uchaguzi mkuu,kwani ni chama cha Siasa kilichosajiliwa?kwenye orodha ya msajili wa vyama vya siasa kuna mahakama ya kadhi?kama hakuna hii kitu inatoka wapi? Na hata kama ni chama kisingesajiliwa kwa sababu ya kuegemea udini,ubaguzi wa itikadi za dini na mlengo wake wa kuwahudumia watu wa kundi fulani!NASEMA HAPANA KWA MAHAKAMA YA KADHI KUHUSISHWA NA UCHAGUZI MKUU.

Uwelewa wako ni mdogo sana ndio maana unauliza swali kama hilo. Naona shida hata kukuelewasha najua hutaelewa pia. Kaa pembeni wache wenyekujua waje wajadili.
 
Halafu wewe mzimu pepo aliyeteua Tume ni mwislam au mkristo. Kweli wewe ni pepo unataka kuharibu amani ya nchi ambayo haina dini ila wana nchi wake wana dini. Au twambie Tanzania ina dini gani. Soma Katiba Inayopendekezwa ukaone uhuru wa kuabudu unaongelewaje. Upo hapo. Nakukemea tena toka peepooo!

Hizo zako ni akili za kitoto! Mimi najadili jambo Muhimu wewe unaleta hadithi za watoto wa shule!
 
Maweee! Kwa wachangiaji wa namna hii, JF is getting boring now!

Unatafuta umaarufu wewe kwa kuleta mada zilizofungwa!hilo jambo halitakiwi kuwepo humu ila kwa kidomodomo chako na kupenda sifa na kuonewa huruma unataka kuungwa mkono HAPA HAPANA HAPANA HAPANA MAHAKAMA YA KADHI ISIHUSISHWE NA UCHAGUZI MKUU!!!
 
Unafanya nini humu kama ni za kitoto, amsha popo ili usiwe unaziona hizo hoja, we wa wapi wewe? Au unatoka shamba mkoa?

Kafungue ya kwako sasa kama hii iliyopo inakubore, kama pia huna cha kuongea humu kaa kimya, unaziba nafasi na kujaza server tu.

Unatafuta umaarufu wewe kwa kuleta mada zilizofungwa!hilo jambo halitakiwi kuwepo humu ila kwa kidomodomo chako na kupenda sifa na kuonewa huruma unataka kuungwa mkono HAPA HAPANA HAPANA HAPANA MAHAKAMA YA KADHI ISIHUSISHWE NA UCHAGUZI MKUU!!!

Umekunywa ulanzi wewe na hapa unaonekana umelewa unataka kutuchafulia nchi yetu tunayoipenda,wewe ni muhaini!,

Uwelewa mdogo wa Mambo Muhimu na Umbumbumbu wa Kushabikia Mambo Usio ya Jua ndio tatizo kubwa hapa. Hamna hoja za kujadiliana na mimi. Hii thread sio ya Mipasho wala uwanja wa Matusi. Ila huo ndio upeo wenu. Kwa sababu hamna uwezo wa kujadili hoja. Huwezi kujadiliana na mimi kwa akili za vijiweni. Nahitaji sio walioenda shule tu, bali walioenda shule na kuelewa sio kufaulishwa kwa sababu ya Dini yao.

Fanyeni utafiti wa hoja zinazo tolewa ili muweze kua na majibu sahihi. Kua mkristo peke yake haitoshi kua ni hoja ya kukataa au kupingana na Mahakama ya Kadhi.
 
Uwelewa mdogo wa Mambo Muhimu na Umbumbumbu wa Kushabikia Mambo Usio ya Jua ndio tatizo kubwa hapa. Hamna hoja za kujadiliana na mimi. Hii thread sio Mpisho wala uwanja wa Matusi. Ila huo ndio upeo wenu.

Fanyeni utafiti wa hoja zinazo tolewa ili muweze kua na majibu sahihi. Kua mkristo peke yake haitoshi kua ni hoja ya kukataa au kupingana na Mahakama ya Kadhi.
Ulishaambiwa kuwa unatafta umaarufu humu ndani, sasa bora ukaimbe taarabu kuliko kujifanya unajibu hoja humu kumbe ni matapishi tupu.
 
Back
Top Bottom