MZIMU
JF-Expert Member
- Apr 29, 2011
- 4,058
- 1,373
- Thread starter
- #221
wananchi wanaijua moja tu katiba inayopendekezwa, ya babu hawaijui hata rangi yake!View attachment 243719
Sasa kwanini mumewasumbua wananchi na kula hela kibao kumbe mna agenda zenu za siri ukianchana na zile za kikristo za tume. Infact kulikua na strong ant-islam lobby hasa ukizingatia wajumbe wa kiislamu waliku dhaifu sana katika kujenga na kutetea hoja ulinganisha na kina Kabudi.
Tafuta C.V za watu hawa ndio utaelewa naongelea nini?.
Uongozi wa Juu
1. Jaji Joseph Sinde Warioba - Mwenyekiti
2. Jaji Mkuu Mstaafu Augustino Ramadhani - Makamu Mwenyekiti.
Wajumbe kutoka Bara
1. Profesa Mwesiga L. Baregu
2. Riziki Shahari Mngwali
3. Dr. Edmundi Adrian Sengodo Mvungi
4. Ndugu Richard Shadrack Lyimo
5. Ndugu John J. Nkolo
6. Alhaj Said El-Maamry
7. Ndugu Jesca Sydney Mkuchu
8. Profesa Palamagamba J. Kabudi
9. Ndugu Humphrey Polepole
10. Ndugu Yahya Msulwa
11. Ndugu Esther P. Mkwizu
12. Ndugu Maria Malingumu Kashonda
13. Mheshimiwa Aly-Shymaa J. Kwegyir (MB)
14. Ndugu Mwantumu Jasmine Malale
15. Ndugu Joseph Butiku
Wengi katika ya hao wenye Majina ya Kiislamu ilikua bora liende wakati wenzao walikua wana agenda Maalum ya kuhakisha kua Mahakama ya Kadhi haiwekwi kwenye katiba!