Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.
 
baraza kuu la cuf linauzo wa kumpitisha mgombea kwa mujibu wa katiba ya CUF ndilo lenye maamuzi ya mwisho ya kuteua mgombea na walifanya hivyo. hakuna pingamizi msimamizi tupa kwenye dust bin.

Hoja lilifanyika wapi na tarehe ngapi? maana wajumbe wa baraza wa bara nasikia ndio mashahidi wa huyu jamaa wa AFP na si unajua moto wao kule znz? kwa wasiowajua mwenyekiti wa AFP ni aliyekuwa mgombea mwenza wa mtikila 2005 election na ndio aliweka pingamizi kwa CDM urais.
 
Taratibu ni kuwa mgombea akiwekewa pingamizi anakuwa na muda hadi keho saa kumi jioni awe amejibu hivyo tusubirie majibu .
 
CUF; tangu FUJO kwa CHADEMA, pingamizi hadi kushindwa kabisa mwisho wa siku.
 
Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.

hapa ukiandika hivi najua ni kati ya wale waliotengewa shilingi 55 elfu kwa siku kwa ajili ya kuandika kwenye mitandao mwenendo wa CCM Igunga
 
Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.
<br />
<br />mbona hata mheshimiwa rais ni mwizi wa raslimali za watanzania lkn aliruhusiwa kugombea urais kwa mara ya pili?
 
baraza kuu la cuf linauzo wa kumpitisha mgombea kwa mujibu wa katiba ya CUF ndilo lenye maamuzi ya mwisho ya kuteua mgombea na walifanya hivyo. hakuna pingamizi msimamizi tupa kwenye dust bin.
Nafikiri mgombea wa Kafu ameula wa chuya sijui yule punda wa kampeni kutoka pemba mtamrudishaje masikini.
 
hapa ukiandika hivi najua ni kati ya wale waliotengewa shilingi 55 elfu kwa siku kwa ajili ya kuandika kwenye mitandao mwenendo wa CCM Igunga
<br />
<br />
Hata hii hela unayoizungumza si anaisikia kutoka kwako tu huyu laiti ungekuwa unamjua anavyoishi ingekuwa ni siri yako tu
 
Nafikiri mgombea wa Kafu ameula wa chuya sijui yule punda wa kampeni kutoka pemba mtamrudishaje masikini.

Duuh! Hii kali wenzao wanakodi chopa wao wanakodi punda? sio bora wange muomba mwema awaazime farasi
 
Nyongeza ,ni kuwa AFP wamesema kuwa mgombea wa CCM kadanganya eneo la kuzaliwa kwani ameandika ni Igunga wakati amezaliwa Sengerema na kuhamia Igunga , wanasubiriwa kujibu ili tujue nini kitaendelea.
Kumbe Kafumu ni wa kuja halafu anajifanya kazaliwa Igunga hopeless, hata kama atakubaliwa kugombea hii karata itakuwa ngumu sana kuicheza ni Rostam tu aliweza kuwapumbaza wanaigunga aliwadanganya wakati wa kwenda wakati wa kurudi njia wameshaijua.
 
Msimamizi amesema kama mpaka sa'12 hakuna form itakayokuwa imerudishwa basi hakuna pingamizi litakalokubaliwa! Me nadhani hivi vyama viwili vinategeana, mmoja akipeleka basi na kingine kinapeleka!
tatizo msimamizi wa uchaguzi yupo upande wa CCM inaweza kuonekana hamna aliyepeleka pingamizi halafu muda wa kutoa pingamizi unapoisha msimamizi anaibuka na kusema amepokea pingamizi toka CCM! au pia inawezekana CHADEMA wakapeleka pingamizi halafu jamaa akakana kupokea pingamizi toka CCM! Ngoma nzito hapo...
 
Mkuu ahsante sana kwa taarifa hii.

Tunawatakia kila la kheri huko igunga, naamini mmejipanga vizuri sana kuwasha moto hadi kieleweke.

Kama huyo dr.kafumu alizaliwa sengerema lakini yeye kaandika kazaliwa igunga, sheria inasemaje kwa kosa kama hilo? ingawa wasiwasi wangu ni kama mkurugenzi atalikubali pingamizi hilo hata kama ni la kweli.

Magamba na mwandani wao cuf ngoja waendelee kucheza kidali po!!
 
Bila mawazo ya kishetani (ya kuchakachua), mgombea wa CCM atakuwa out.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…