Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baraza kuu la cuf linauzo wa kumpitisha mgombea kwa mujibu wa katiba ya CUF ndilo lenye maamuzi ya mwisho ya kuteua mgombea na walifanya hivyo. hakuna pingamizi msimamizi tupa kwenye dust bin.
<br />Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.
Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.
Jamani nisaidia hivi hawa ni ccm au cuf? ok ni Bibi na bwana wanatembea wakiwa wamependeza
<br />Lakini mbona hata Lema naye alishawahi kuwa jambazi sugu? Mimi nadhani wangemwacha tu na yeye auze sura.
Nafikiri mgombea wa Kafu ameula wa chuya sijui yule punda wa kampeni kutoka pemba mtamrudishaje masikini.baraza kuu la cuf linauzo wa kumpitisha mgombea kwa mujibu wa katiba ya CUF ndilo lenye maamuzi ya mwisho ya kuteua mgombea na walifanya hivyo. hakuna pingamizi msimamizi tupa kwenye dust bin.
Taratibu ni kuwa mgombea akiwekewa pingamizi anakuwa na muda hadi keho saa kumi jioni awe amejibu hivyo tusubirie majibu .
<br />hapa ukiandika hivi najua ni kati ya wale waliotengewa shilingi 55 elfu kwa siku kwa ajili ya kuandika kwenye mitandao mwenendo wa CCM Igunga
Nafikiri mgombea wa Kafu ameula wa chuya sijui yule punda wa kampeni kutoka pemba mtamrudishaje masikini.
<br />Taratibu ni kuwa mgombea akiwekewa pingamizi anakuwa na muda hadi keho saa kumi jioni awe amejibu hivyo tusubirie majibu .
Kumbe Kafumu ni wa kuja halafu anajifanya kazaliwa Igunga hopeless, hata kama atakubaliwa kugombea hii karata itakuwa ngumu sana kuicheza ni Rostam tu aliweza kuwapumbaza wanaigunga aliwadanganya wakati wa kwenda wakati wa kurudi njia wameshaijua.Nyongeza ,ni kuwa AFP wamesema kuwa mgombea wa CCM kadanganya eneo la kuzaliwa kwani ameandika ni Igunga wakati amezaliwa Sengerema na kuhamia Igunga , wanasubiriwa kujibu ili tujue nini kitaendelea.
tatizo msimamizi wa uchaguzi yupo upande wa CCM inaweza kuonekana hamna aliyepeleka pingamizi halafu muda wa kutoa pingamizi unapoisha msimamizi anaibuka na kusema amepokea pingamizi toka CCM! au pia inawezekana CHADEMA wakapeleka pingamizi halafu jamaa akakana kupokea pingamizi toka CCM! Ngoma nzito hapo...Msimamizi amesema kama mpaka sa'12 hakuna form itakayokuwa imerudishwa basi hakuna pingamizi litakalokubaliwa! Me nadhani hivi vyama viwili vinategeana, mmoja akipeleka basi na kingine kinapeleka!
Pingamizi limewekwa na vyama 3 kama ifuatavyo;
AFP -dhidi ya CCM kuwa Kafumu hana ruhusa ya mwajiri wake na hivyo ametoroka kazini anapaswa kuenguliwa na wakaweka precidence ya pingamizi la Prof.Mwandosya dhidi ya mgombea wa NCCR kule rungwe.CCM wameandikiwa juu ya pingamizi hilo na hawajajibu mpaka sasa .
AFP-dhidi ya mgombea wa CUF kuwa mgombea wa CUF hakuteuliwa na vyombo vya kikatiba vya chama kwani hakukuwahi kufanyika kikao chochote cha baraza kuu kwa ajili ya kumteua kama katiba yao inavyosema hivyo sio mgombea halali -kaandikiwa ajibu na mpaka sasa hajajibu.
CCM -dhidi ya CDM wao wamesema kuwa mgombea wa CDM sio mwanachama wa Chadema ila ni mtumishi wa serikali na hana kadi ya Chadema - Hili limetupiwa mbali kwani msimizi alipowataarifu CDM walipeleka kadi ya mgombea wao na barua ya likizo ambayo aliruhusiwa kugombea .Hivyo hakuna pingamizi dhidi ya mgombea wa CDM mpaka sasa .
More. info later ndio tuko kikaoni tunaendelea na mipango ya kuchukua jimbo.