Wakuu,,Mwita na wengineo wa mlengo wake wanachofanya ktk kila thread ni kutupia vitu kuwatoa great thinkers kudadavua na kuchangia thread mama badala yake wanaanza kumshambulia yeye jambo ambalo anafanikiwa sana. Nadhani wanajamvi tuwe tuna m ignore na kuendelea kujikita katika mada/thread husika

pingamizi zote zimetupiliwa mbali na msimamizi wa uchaguzi. CUF(CCM-B) wana akili kama ya mnyama fulani aliyesababisha mods kumfungia mpambanaji wetu Daudi Mchambuzi.

Niliwahi kuandika kuwa Mwita25 ni kikatuni cha kupuuzwa tu!!

Narudia tena, ningekuwa punguani ningewezaje kupata GPA ya 4.0?

Wakuu, nimekuwa na mjadala mkali na jamaa wawili, watatu na wengine wana 'ukigogo' kiasi fulani ndani ya CCM. Dondoo zilizozua mjadala huo naziweka hapa chini kama maswali.

Sote tunaelewa na kufahamu kuwa Katibu Mwenezi CCM - Nape Nnauye alikuwa Igunga kwa ajili ya kuhamasisha na kuandaa taratibu za ufunguzi wa kampeni, kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa jimbo la Igunga. Haikuwa siri, kwani picha na taarifa zipo, na hata Nape mwenyewe binafsi amethibitisha hilo.

Pia tunakumbuka kuwa katika kikao cha Kamati Kuu kilichopita, mojawapo ya maazimio ya kikao hicho ni kutoa tamko rasmi lililowazuia Nape na Chiligati kwenda Igunga na/au kushiriki shughuli za uchaguzi Igunga.

Hakuna kikao kingine cha Kamati Kuu kilichokaa na kutengua uamuzi huo, au kutoa tamko linalotengua tamko hilo la awali.

Mjadala unakuja.

Je, Nape kwa kwenda Igunga, amekaidi na kupuuza maamuzi ya Kamati Kuu?

Na kama anafanya alivyoagizwa na makao makuu (kwani sidhani kama Nape anaweza kuondoka mwenyewe tu kwenda hadi Igunga kivyake-vyake), je, ni mtendaji gani aliyeamua/aliyekaidi hivyo nje ya vikao halali vya Kamati Kuu ambavyo vilitoa uamuzi wa kumzuia Nape na Chiligati kwenda Igunga, na haijakaa tena kubadili uamuzi huo?

KWAKAWAIDA TAWALA ZINAZOANGUKA HUWA NA AINA HIYO YA VIASHIRIA,

Tawala zinazopenda kuandikwa vizuri hakika hazina miaka mingi yakuishi, tawala ambazo hazipendi kuambiwa ukweli , daima hupongezwa kwa kilemba cha ukoka, hudhani mambo yanakwenda vyema kumbe yanaharibika.

NI VYEMA KWA USTAWI WA TAIFA CCM WAKIENDELEA KUHONGA MAANA ITAHARAKISHA MAGEUZI NDANI YA TAIFA HILI.
Kwa mujibu wa waraka huo magazeti yatakayotumika kwa mkakati huo ni mwananchi,majira,nipashe,jambo leo,habari leo na mtanzania..

Mkapa huwa anatumia neno moja tu linalowakilisha wapinzani, KOKOTO. Huyu mzee namkubali sana.
Wewe ambaye ujifurahishi ebu niambie Jeet Patel na Manji, wakili wao ni nani kama sio Mabere Marando, wewe ni CDM-Kata unafuata mkumbo tu huna unalolijua zaidi ya kuwa mateka wa CDM"Unajifurahisha mwenyewe ila ukweli unaujua moyoni mwako.Naheshimu mtu akiwa kazini najua uko kazini.
Watu WOTE WENYENAKILI MBONA WALISHAACHANA NA UPUPU UNAOTOKA HUKO SIKU NYINGI????? Ukitaka ujue nenda kaulize ma sellll