Dah,

Watu kweli wabunifu,

Hiyo kitu imetulia sana.

Watu wana vipaji sana,

sema basi tu serikali yenyewe ndio hii isiyojali raia wake kwa kuweka mazingira mazuri kwa watunzi kama hao.
Hata kwenye kampeni za mwaka jana watu walijaza sana mikutano yenu lakini kilichofuata ni aibu kwenye matokeo. Kama wingi wa watu ndiyo ushindi, basi hongereni sana. Lakini ninachojua mimi watanzania wengi huwa wanafuata na wanachagua sera
Sasa ulitegemea mtu mzima na akili zake na P.U.M.B.U zake atakubali upuuzi huo wa kupakiwa kwenye FUSO? wewe angalia vizuri hao watoto kuna hata mmoja alievaa viatu? hao yawezekana wana miaka 10 hawajawahi kupanda gari.Masikini ccm, mbona waliobebwa wengi ni watoto? Aibu!!
Hii picha inasikitisha saana, ukiiangalia kwa makini utaona hilo lory wengi ni watoto tena labda wamepanda ili kuona raha ya kupanda gari. pia ukiangalia zaidi utagundua asilimia kubya ya watu hao hawajavaa viatu, wamevaa yebo na ndala. wanahitaji ukombozi wa kweli
Quote of the day.Kwa mtaji huu kama CCM wanataka kushinda 2015 inabidi akina MS, Karanga, Mrs Foxy, Mwita 25 et al. waachane na propaganda za humu JF waende kwa wanannchi!! Humu JF inaelekea wanaisaidia CDM zaidi ya kuibomoa.
Labda katishiwa asipoenda watafumua maufisadi yake so imebidi awe mpole c unajua zake JK kumtumia kila mtu pale atakapo la umeenda tofauti nae kisasi!
Umeshasema haina ushahidi wa kutosha sasa sielewi unataka waropoke. No research no right to argue.Kagoda inawapunguzia CDM kura kwani CDM ni watendaji wa serikali??? Think like lawyer plz.Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!
Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!
Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
CCM wakishinda hapa wametumia ndumba za Lewis Makame
na hapa ni baadhi ya wanaccm wakisombelewa na Maroli kupelekwa kwenye mikutano, hahahaaaah chama kinakufa hiki, Nani anabisha ?
LATIFA,
Kila siku nakuambia jifunze matumizi ya herufu kubwa na ndogo, angalia sasa kumbe na wewe Kilaza, Teh teh teh teh
Hebu apa kama yule ndugu yako Tambwe hiza, halafu utimize, nafikiri unakumbuka aliapa nini wakati anahamia MagambaniMimi Chadema ikishinda Igunga wallahi natembea uchi kutoka Ubungo mpaka Posta kwa miguu.