Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246

Mkuu hebu tupe habari hata kwa kifupi WAMEKUWAJE HAO MAGAMBA?

Wapi jeykey,ritz ! Fyuuu yule kitufe ben kashndwa pandsha ngaz za jukwaani!
juzi alikataa kuwa pinda/msajiri wa vyama kuwa hajatoa barua za kuwataka ccm na chadema wakuata kwenye swala la meya wa kichina

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Anza kuandika na herufi kubwa mbona uelewi wewe!!!

Tueleze kilichojili leo ili tujui na tupime kama amesema uongo
Ahahahahah, nimegundua ka-laptop kako kamtumba hakana Caps lock wala Shift, ndio maana unashidwa kuanza kuandika na herufi kubwalook how a top ccm cadre behaves ..... i can't imagine how the hell someone appointed these type of people to a DC post .... i am very sad

Hebu tukumbushane kidogo baadhi ya ufisadi alio ufanya

<br /kwanini uteseke namna hii andika kiswahiliThe story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
Kaka ulivyokariri hayo maelezo hapo kwenye red! Kama kindergarten vile! Sijui hii ni thread ya ngapi naona hiyo "kariri" yako. Kajifunze hili: lugha ni nini? na sababu za msingi za kuwapo kwake ni zipi? ukishaelimika kuhusu hayo, mengine hayatakusumbua hasa kwenye maeneo kama hapa JF kwa GTs.