Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.

Mkuu hebu tupe habari hata kwa kifupi WAMEKUWAJE HAO MAGAMBA?

si unajua kwanzia mwanzo Kulikuwa na patashka nani aje huku sasa hali imekuwa tete ngoja nape aje aeleze

juzi alikataa kuwa pinda/msajiri wa vyama kuwa hajatoa barua za kuwataka ccm na chadema wakuata kwenye swala la meya wa kichina

Nape anasahau sana. And he is not fit for the position granted by the magambaz.
Sijui tuseme ni matatizo ya Degree za kihindi!

Kuna wakati wasanii wetu walikuja na mkwara mzito wa kuhifadhi mazingira lakini wakapoa hadi leo hawasikiki

KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.

Nakumbuka chama cha nccr mageuzi kilitoa msimamo wa kutoshiriki uchaguzi Igunga na kilisema kitakiunga mkono chama cha upinzani kitakchoonyesha kukubalika.
Sasa kampeni zimezinduliwa na msimamo wa wanaIgunga umeanza kuonekana sasa je NCCR wanaegemea wapi..?

Anza kuandika na herufi kubwa mbona uelewi wewe!!!

Kaka ulivyokariri hayo maelezo hapo kwenye red! Kama kindergarten vile! Sijui hii ni thread ya ngapi naona hiyo "kariri" yako. Kajifunze hili: lugha ni nini? na sababu za msingi za kuwapo kwake ni zipi? ukishaelimika kuhusu hayo, mengine hayatakusumbua hasa kwenye maeneo kama hapa JF kwa GTs.

• Thanks
Reactions: LAT
Mungu tusaidie mafisadi watokomee mbali kwa jina la YESU KRISTO ALIYE UFIA ULIMWENGU. YESU KRISTO MWOKOZI WA ULIMWENGU IOKOE IGUNGA SHETANI CCM AFIE MBALI. WATU WAMECHOKA KUIBIWA NA HILI DUDU CCM.

look how a top ccm cadre behaves ..... i can't imagine how the hell someone appointed these type of people to a DC post .... i am very sad
Ahahahahah, nimegundua ka-laptop kako kamtumba hakana Caps lock wala Shift, ndio maana unashidwa kuanza kuandika na herufi kubwa

JF Senior Expert Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 15th April 2011
Posts : 783
Rep Power : 22

[h=2]
icon1.png
[/h]
quote_icon.png
By Nnauye Jr
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa MENDE na PANZI. Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.​

Hebu tukumbushane kidogo baadhi ya ufisadi alio ufanya

kujiuzia mgodi wa makaa ya mawe Kiwira
kufanya biashara akiwa Ikulu
wizi wa EPA umefanyika yeye akiwa rais na ameshiriki wizi huo kwa kutoa vimemo
.............Ongezea na wewe

Ni wakati wa kuamka igunga,onyesha njia kwa mamilioni ya watanzania wanaotaabika ktk nchi yao wenyewe vyakula juu,mafuta juu,umeme,foleni,ajira,uporaji wa maliasili....go go igunga mamilioni ya watz tunawategemea muanzishe njia mbadala.cdm msilale watumieni vijana wazee ku"penetrate" every house,vijiwe,mashuleni,ofisini,idara za usalama,even ndani ya ccm kwenyewe,watu wamechoka kuliko maelezo, may ALLAH be with you through
all that hard way

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.

<br /kwanini uteseke namna hii andika kiswahili

Chadema na Cuf wanataka jimbo la Igunga. Ni jukumu la ccm kuwaambia kwa ni RA aliliacha kabla ya kuisha miaka mitano. CCM ieleze maana ya siasa uchwara, ndiyo, ieleze kama jimbo kuwa wazi hakuhusiani na kuvuana magamba.

Kaka ulivyokariri hayo maelezo hapo kwenye red! Kama kindergarten vile! Sijui hii ni thread ya ngapi naona hiyo "kariri" yako. Kajifunze hili: lugha ni nini? na sababu za msingi za kuwapo kwake ni zipi? ukishaelimika kuhusu hayo, mengine hayatakusumbua hasa kwenye maeneo kama hapa JF kwa GTs.

mkuu .... huyo hawezi kuelimika wala hajui truncation ni nini .... kinachomsumbua ni ignorance

Hayo maroli yamezuiwa kubeba abiria Kamanda Siro anafanya nini huko kama bado yanabeba watu? Isije kuwa njama watu wakatolewa mikoa jirani kuja kupiga kura by the same lories

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom