Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
Mkapa atajihaibisha mwenyewe, bado anataka viposho kutoka CCM
 

Ila we jamaa unanifurahisha sana.Ni kama vile Sadam alivokua anawatambia wamarekani kwamba kaburi lao liko Baghdad,wakiingia tu wamekwisha.Au kama mkwara wa Ghadafi kwamba walibya watazishambulia nchi za ulaya kama nzige.Sometimes ni busara kunyamaza kuliko kukimbilia ku comment tu.Ukiona mambo magumu usiwe kama makamba mzee unakomaaa tu unakomaaa tu.Hii itakusaidia
 
mkuu .... huyo hawezi kuelimika wala hajui truncation ni nini .... kinachomsumbua ni ignorance

Kweli mkuu; huyu akiwekewa shorthand hapa si ndio atazimia kabisa. Hata kuongea nadhani anadhani kuna kuongea kwa herufi kubwa na ndogo alivyokariri vibaya huyu! Sijui kahitimu chuo gani huyu.
 
Reactions: LAT
CCM kama manaona huo ni uongo si mlete picha za uzinduzi wenu hapa ili tuone kama kweli Mkapa kafunika? Hata mkipata wa kuleta kwa malori waleteni tuu.
 
<br />
<br />
nijiimbie kawimbo, pole samaki pole X2. . . . .
 
Kwa kukusaidia tu...deforestation is a total or permanent conversion of one type of land use into another type of land use, kwa mfano kama ulikuwa una msitu ukafungua uwanja wa mpira au ukaweka majengo, basi hiyo inaitwa deforestation. hiyo hali unayoiona huko nzega inaitwa forest degradation ambapo the quality of forest is disturbed. asante kwa kueleza unachokiona, naamini wanohusika hasa serikali itashughulikia hili swala au mashirika yanayohusika na uhifadhi wa misitu watachukua some initiatives.

 
<br />
<br />
kokoto yaogopwa na mt. Kilimanjaro
 
Ahahahahah, nimegundua ka-laptop kako kamtumba hakana Caps lock wala Shift, ndio maana unashidwa kuanza kuandika na herufi kubwa

Magamba bwana,wanafurahisha kweli kwa kufikiri kutumia masaburi.Eti na huyu jamaa anaona katoa point au tuseme anajiona ana hoja.
 
Reactions: LAT
asante CDM,alunta continua mpaka kieleweke.!!baba atamkimbia mtoto
 
Wanaegemea kwetu nyie mlie tu

Nakumbuka chama cha nccr mageuzi kilitoa msimamo wa kutoshiriki uchaguzi Igunga na kilisema kitakiunga mkono chama cha upinzani kitakachoonyesha kukubalika.
Sasa kampeni zimezinduliwa na msimamo wa wanaIgunga umeanza kuonekana sasa je NCCR wanaegemea wapi..?

mwita25 vp na ccm ni chama cha upinzani? soma vizuri hapo nilipobold
 
chama kisiaminiwe kwa ajir ya wizi wenu? Hii nayo kali.
 

Inaonekana hujakua wewe hujui ni nani aliye anzisha hilo timbwili la Kagoda leo unasema CDM haina ukweli wake. KAKOJOE ULALE!!
 
uliambiwa na nan ndio kauli mbiu ya CDM kuchukua jimbo la Igunga? Tuna mpango mkakati mkubwa, mtabaki kuuma meno tu &#8203;
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…