Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
koti la rangi gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
mkuu .... huyo hawezi kuelimika wala hajui truncation ni nini .... kinachomsumbua ni ignorance

Mkuu usipoteze muda wako kubishana na hawa MENDE na PANZI. Endelea na kazi mimi nawatosha tu mkuu.
Wapi jeykey,ritz ! Fyuuu yule kitufe ben kashndwa pandsha ngaz za jukwaani!
wewe hujamfahamu huyu nepi ni mmongo anaeweza kubadili nyekundu kuwa njano...Asante kwa kukanusha kwa wakati. Binafsi huwa sipendi hizi threads za uzushi.
huyu ndiye anafaa kabisa kuokoa jahazi Igunga.hakuna mwingine.
View attachment 36666View attachment 36666View attachment 36666

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
Nina iman kuwa wakuu wa serikali nao huwa wanapita pita humu mtandaoni, hii ni aibu kubwa kwa viongozi tulionao kuendelea kuimba kilimo kwanza huku mapori mengi yakiendelea kufyekwa wilayani humo kwa shughuli za mkaa. Nikawaida unaposafiri unaposafiri katika barabara Nzega-Shinyanga kukutana na makundi makubwa ya waendesha baiskeli (zaidi ya 500) kila siku iendayo kwa Mungu wakitokea Nzega kuelekea Shinyanga na majunia ya mikaa. Mbaya zaidi hivi sasa wanafyeka hata miti ya Miembe ambayo ni urithi mkubwa kwa watu wa Nzega
Please nyie viongozi work up an act as soon as possible, Wilaya inaangamia kwa ukame miaka miwili mfululizo sasa

The story is purely apocryphal although the booboisie might find it veracious and some of ninnyhammers will even dare to award it many thanks. The reality is CCM have landed Igunga by storm, the crowd was astonishing and jubilant populace waved the party's flags as a clear harbinger of, as usual, a landslide victory.
Ahahahahah, nimegundua ka-laptop kako kamtumba hakana Caps lock wala Shift, ndio maana unashidwa kuanza kuandika na herufi kubwa
Wanaegemea kwetu nyie mlie tu
chama kisiaminiwe kwa ajir ya wizi wenu? Hii nayo kali.Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!

Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!

Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
Pamoja na Tambo nyingi kwa Viongozi wa Chadema kwa kurusha makombora kwa CCM hakuna alie thubutu kugusa suala la Kagodaa kwenye uzinduzi wa kampeni Igunga. Hakugusia hata kidogo kashfa ya Kagoda!
Watalamu wa mambo ya siasa wanasema Chadema hawana ushahidi juu ya Kagoda kama Ushahidi wa Msema kweli! Imekua vigumu kwa CDM kuongelea Kagoda tofauti na hapo nyuma kwani suala la Kagoda kwa sasa halitakiwi porojo za kisiasa kinachotakiwa ni Ushidi uwe kama ule wa Msemakweli au Zaidi!
Suala la Kagoda linaipunguzia Chadema kuaminiwa kwani hawana ukweli wake.
KWANI UNAPATA NINI KUTOA TAARIFA ZA UONGO KAMA HIZII? shame on you