lutamyo
JF-Expert Member
- Apr 13, 2011
- 641
- 159
<br />
<br />
Yaani picha za mwaka jana ndiyo unazijaza hapa?
Unajua kaka kwenye ukweli kubali tu siyo kwamba utakula misumali au vipi maana kutumiwa kama kopo au nyanya kisha baadaye ukumbuke kuwa kumbe unahitaji tena kutumia hivi ndivyo nionavyo mimi kuhusu wazee, vijana, wanawake na wengine wote wenye ubongo wa kuku. kamwe ukweli hawataki kuusikia wala kuuelewa, hebu nambie kama chama si kuishiwa nguvu kwanini kitumie nguvu nyiiiingi kwa ajili tu JIMBO LA IGUNGA MAANA TUMEIMBIWA SANA OOOH TUMETHUBUTU SIJUI TUMEWEZA JE NA SIJUI NINI KAMA NI HIVYO NINI HOFU YA WATAWALA WETU..... JE si hofu ya kujua kuwa Wadanganyika wanaanza kujitambua................ mtabakia nyie wenyewe vilambishi vya makombo ya watwana wetu.