Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

Status
Not open for further replies.
&lt;br /&gt;<br />
&lt;br /&gt;<br />
Hakuna maelezo ya kijitosheleza hapo. Inakuwaje siku ya uzinduzi hakuwepo, ina maana hakualikwa. Ajali imetokea leo
<br />
<br />
Mwita acha jaribu kushirikisha kichwa chako kabla ya kupost
 
Vipi Lema nae atakwenda Igunga au mnaogopa hatawachafulia Kampeni, akianza kumwaga pumba zake au ile issue ya kupora magari imemkalia pabaya

Wewe na Mwita25 sio bure in wanga maana mnachopost havifanani na muonekano wenu!!nilidhani ni modern creatures kumbe ni living fossils!!
 
Wanajamvi tusihukumu kitabu kwa mwonekano wa jalada, wingi au uchache wa wahudhuriaji sio ishara sahihi ya kushinda au kushindwa. ccm wana zaidi ya hiyo. Mifano tunayo!
 
Gamba RA alionekana mara moja tu kwenye jukwaa na kuongea maneno machache tu kwamba watu wapige kura kwa kafumu ila sura yake inaonekana imesawajika na maneo yake hayatoki moyoni...watu weliohudhuria wengi walikuwa makada kutoka sehem nje ya igunga na wala hawakuwa wengi kama kwenye mkutano wa CDM jana!
 
4.jpg

sura za wana igunga hawa zinaonyesha hawana imani kabisa na magamba naona hapa wamekuja kwa sababu wamepewa tu hizo jezi na nina hakika ikifika wakati wa kupiga kura hawatapigia magamba!
 
napeeeeeeeeeeeeee!! hongera bana kwa kwa kazi ya ukiranja ulopewa an JK kuchalaza magamba viboko. Ila binafsi huwa siamini wewe unanguvu ya kisiasa kiasi hicho unachotembea kifua mbele. sikuombei njaa, ila nasubiri JK aachie uongozi nione kama utamaintain hiyo political power uliyinayo, ukimaintain ndo ntakukubali. ila hii ya sasa ya kushambulia kila mtu anayekukwaza!!! naona kama ni backup fulani. anyway all the best kaka.
 
SIKUDHANI WALA KUTEGEMEA KUWA ROSTAM ANGEKUWA SEHEMU YA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI KWA JIMBO LA IGUNGA UPANDE WA CCM. USWAHIBA HUU WA CCM NA ROSTAM NI WA KICHAWI NA HAUKUBALIKI. KAMA NI CCM IMEMWALIKA ROSTAMU BASI ROSTAMU NI ZAIDI YA CHAMA CHAO, NA KAMA NI ROSTAMU AMEOMBA KUWEPO LEO NAHISI BASI ANAMADHAMBI MENGI KULIKO TUNAVYODHANI KWANI LABDA WAMEMWAMBIA ASIPOKUJA KUFANYA KAMPENI WATAMSHUGHULIKIA IPASAVYO.

CCM KUANZIA LEO WASIKAE WATUDANGANYE TENA KAMA WANAMOTO WA KUJIVUA MAGAMBA WAKATI WALIOVULIWA MAGAMBA WANAALIKWA KUTAKASA WASIPOSTAHILI. CCM HAIMTAKI ROSTAMU LAKINI INAUTAKA MTAJI WAKE WA KISIASA ALIOUPATA KIFEDHULI ILI KUSHINDA JIMBO LA IGUNGA TABIA GANI YA SIZITAKI MBICHI HIZO HUKU UNAZITAMANI NA KUZILA BILA KIFICHO

CCM INAFANYA HIVYO KWA SABABU KWA MIAKA YOTE IMEWAANDAA WATANZANIA KUWA WAJINGA NA KWAMBA HAWAWEZI KUWA NA TAFAKURI ILI KUANISHA MAMBO YA OVYO NA YA MAANA. KITENDO WALICHOFANYA IGUNGA NI KOSA LA JINAI NA PENGINE KOSA KAMA HILO HALIWEZI KUFANYWA NA MWANASIASA AU CHAMA PAHALI PENGINE POPOTE DUNIANI ISIPOKUWA TANZANAIA KWA SABABU SISI SI WELEVU NA HII NI TAFSIRI YANGU. iLI KUTHIBITISHA KUWA KOSA HILO NI BAYA WANAIGUNGA KWA NIABA YA WATANZANIA TOENI ADHABU KALI KWA CCM ILI IWE FUNDISHO NA MFANO KWA VYAMA VINGINE VYA SIASA KUACHA KUWADHANIA WANANCHI WAKE .
 
Kihoja cha mwaka baada ya the comedy wakina joti na masanja kutoa burudani wananchi walisema hatudanganyiki na wakoondoka wakabaki wale walioletwa na malori kutoka nzega na sehemu nyingine. Cccm a.k.a mafisadi mjinyongeee. Igunga ni ya
chadema
 
Mkuu, vita ya Rostam VS CCM, Rostam has more to lose. He's walking on a tight rope, inabidi awapigie magoti tu.
 
Ni ukweli usiofichika hawa jamaa wametunyonya vya kutosha,kuanzia mababu hadi wajukuu.

Du nawachukia kuliko maradhi,
tufike mwisho tuufute ufala,huu.
 
Du i wish ningekuwa Nzega,
niwaone da waya hawa jamaa wanaaibika,
wanazuga na the comed as means of conversing.
Imekula kwao madundape
 
Back
Top Bottom