Labda kuna kitu alikuwa hajakimalizia katika ile miaka yake ya awamu ya kwanza. Hivyo amerudi kwa lengo hilo.Hivi KKKT hawana Maaskofu wengine wanaoweza kuwa Wakuu wa Kanisa maana huyu alikuwa Mkuu wa Kanisa kabla ya Askofu Dkt. Shoo
Habari yako ina upotoshaji..kwa Katiba ya KKKT uchaguzi ni kila baada ya miaka minne... Na ni lazima utumikie vipindi si zaidi ya viwili yaani miaka nane na Shoo tayari kamaoiza miaka yake nane..kikatiba anapumzika...Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
We nawe! si mkuu wa kanisa anaemaliza muda wake alikua anaongoza mkutano wa kupata mrithi wakeKana alimaliza muda wake kwanini alikuwepo kwenye kinyanganyiro
askofu hapigiwi kura anachaguliwa na Mungu. Hawa ni wajasilia familia zao kama waoaji wengine .Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Unataka kusema AGM amepita kimkakati 🤔🤔🤓👍Malasusa? Hakuna kitu pale, yule ni mwanasiasa tu kama wanasiasa wengine ni sawa na bagonza tu tofauti yao ya wazi ni ukada wa vyama mwingine chadema mwingine ccm, but all in all wale ni kitu kimoja katika utumishi wao katika kutekeleza majukumu ya kazi zao
una DNA ya uchonganishi na kuchochea chuki bila ya sababuKama ni kwel
System imepata mtu wao..
Na anavyowachukia wachaga, watamkoma[emoji23][emoji23]
Na Imeenda kweli kweli....Malafyale ni kada mtiifu kutoka Lumumba
[emoji851][emoji851] Hii imeenda......
Bora umemsaidia arekebishe andiko lake...Shoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.
kani alishakuwa mkuu wa kkkt tanzania?Kwa mara ya pili
Nani kakuambia kuwa malasusa anaweza kukosoa mkataba ule yule jamaa Ni kibaraka wa watawala Muda mrefuDouble standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Nani amekuwambia kuwa yule Ni chumaChuma kingine hicho kutoka Rungwe-Mbeya Kwa kina Mwambukusi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni chuma chakavuKila laheri kwa Askofu mkuu mpya.
Kwamba atawatandika viboko au?
Kwa maana hana cha kuwafanya kwa sababu kanisani siyo serikalini kwamba atawanyima miradi ya maendeleo..kwa maana kila Dayosisi ina bajeti yake.
Wala hakuna Jeshi la Polisi kukamata Wapinzani
Pia malasusa siyo mtu wa Chuki kama wengi wanavyodhani..anaweza kuwa na madhaifu yake mengine kama binadamu...
Yupo Iringa anapambania chuo chake, uaskofu alishastaafu miaka 5 iliyopita. Askofu wa Iringa hivi sasa anaitwa Dkt. GavileWa Iringa.
Hivi yuko wapi sikuhizi? Bado ni Askofu?