Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

Hivi KKKT hawana Maaskofu wengine wanaoweza kuwa Wakuu wa Kanisa maana huyu alikuwa Mkuu wa Kanisa kabla ya Askofu Dkt. Shoo
Labda kuna kitu alikuwa hajakimalizia katika ile miaka yake ya awamu ya kwanza. Hivyo amerudi kwa lengo hilo.
 
Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Habari yako ina upotoshaji..kwa Katiba ya KKKT uchaguzi ni kila baada ya miaka minne... Na ni lazima utumikie vipindi si zaidi ya viwili yaani miaka nane na Shoo tayari kamaoiza miaka yake nane..kikatiba anapumzika...
 
Kila la kheri baba askofu mkuu AGM, Mwenyezi Mungu akutunze na kukuongoza, mwangalie yeye unayemtumikia, usiangalie pembeni utazama.
 
Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
askofu hapigiwi kura anachaguliwa na Mungu. Hawa ni wajasilia familia zao kama waoaji wengine .
Mambo ya kura ni ya wanasiasa ambao wote ni mashetani wa wizi na uhujumu wa wanyenchi kama CCM inavyofanya, CCM wezi wa kura.

KKKT achana na kupigiwa kura kwa mtindo wa sasa. Tafuteni utaratibu mwingine wa kuondoa u CCM wa kupiga kura......
 
Malasusa? Hakuna kitu pale, yule ni mwanasiasa tu kama wanasiasa wengine ni sawa na bagonza tu tofauti yao ya wazi ni ukada wa vyama mwingine chadema mwingine ccm, but all in all wale ni kitu kimoja katika utumishi wao katika kutekeleza majukumu ya kazi zao
 
Mambo ya wakatoliki hapa sio mahala pake, KKKT imefanya uchaguzi tena kwa utulivu na amani na kumpata mshindi kwa kufuata taratibu walizojiwekea, tuwapongeze na kumtakia mshindi mafanikio.
 
Malasusa? Hakuna kitu pale, yule ni mwanasiasa tu kama wanasiasa wengine ni sawa na bagonza tu tofauti yao ya wazi ni ukada wa vyama mwingine chadema mwingine ccm, but all in all wale ni kitu kimoja katika utumishi wao katika kutekeleza majukumu ya kazi zao
Unataka kusema AGM amepita kimkakati 🤔🤔🤓👍
 
Shoo hajaondolewa, bali amemaliza muda wake.
Hongera nyingi kwa Dkt. Malasusa, halafu hata watabiri hawakumtabiria kabisa huyu.
Bora umemsaidia arekebishe andiko lake...
Sijui wanatoaga wapi hizi taarifa.
 
Double standard ya Askofu Shooo kutokuonyesha msimamo wa KKKT (mbele ya Rais SSH) kuhusu suala la serikali na mkataba mbovu DPW uenda kumechangia kuenguliwa kwake! Ongela Askofu mkuu mteule Malasusa! Wana KKKT tunataka uonyeshe msimamo wako kny KKKT kama wakatoliki walivyoonyesha waziwazi kuunga mkomo wananchi kukataa bandari zao kuuzwa!View attachment 2727772
Nani kakuambia kuwa malasusa anaweza kukosoa mkataba ule yule jamaa Ni kibaraka wa watawala Muda mrefu

Ni askfu mjingi mno sijui aliwezaje kupenya Hadi kuwa askofu kwa Mara ya pili
 
Kwamba atawatandika viboko au?

Kwa maana hana cha kuwafanya kwa sababu kanisani siyo serikalini kwamba atawanyima miradi ya maendeleo..kwa maana kila Dayosisi ina bajeti yake.

Wala hakuna Jeshi la Polisi kukamata Wapinzani

Pia malasusa siyo mtu wa Chuki kama wengi wanavyodhani..anaweza kuwa na madhaifu yake mengine kama binadamu...

Punguza Uchawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wa Iringa.
Hivi yuko wapi sikuhizi? Bado ni Askofu?
Yupo Iringa anapambania chuo chake, uaskofu alishastaafu miaka 5 iliyopita. Askofu wa Iringa hivi sasa anaitwa Dkt. Gavile
 
Back
Top Bottom