Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi mambo ndio zItafanya Jamhuri ya Twitter isiaminiweWalitajwa na nani mkuu?
Jamuhuri ya Twitter (X)?
Katoliki maaskofu wanapigiwa Kura? Au wanapita bila kupingwa?
Hivi Askof M. Mwamakula ni dhehebu gani huyo?
Hiko kichwa kipo njema sana.
From the best of my knowledge
Maaskofu wa katoliki wanateuliwa na papa baada ya mchakato mrefu.
Pia, hawana hicho cheo cha Askofu mkuu. Badala yake kila askofu ana mamlaka kamili kwenye jimbo lake. Anawaongoza maparoko, mapadri na watawa wengine ndani ya jimbo lake tu. Ni kama wabunge.
Kuhusu uchaguzi, upo wakati wa kuchagua viongozi wa Baraza lao la maaskofu (TEC). Lakini viongozi hao wa TEC hawana ukuu juu ya maaskofu wengine. Ni kama viongozi wa kamati za bunge.
Pia kuna baadhi ya maaskofu wana cheo cha ukadinali, mfano Pengo na Rugambwa. Hawa wanawajibika Vatican na sio viongozi wa maaskofu wengine. Ni kama mawaziri miongoni mwa wabunge.
Kwa Kimaro ilikuwajeKama ni kwel
System imepata mtu wao..
Na anavyowachukia wachaga, watamkoma😂😂