Uchaguzi kwenye taasisi una kanuni na taratibu zake, Ni jambo nyeti. Huweza sambaratisha tasisi. Jee alichofanya Lissu ni sahihi?

Sawa Wagombee wote ili tupate chaguo sahihi la CHADEMA, maana naona kama vile LISU anabebwa na media na wafuasi wake ambao hata siyo wapiga kura.
 
Sawa Wagombee wote ili tupate chaguo sahihi la CHADEMA, maana naona kama vile LISU anabebwa na media na wafuasi wake ambao hata siyo wapiga kura.
Ogopa sana silent majority, watu hawaongei ila wanafanya maamuzi ya siri kumuondoa Mbowe. Kiukweli mtu akifanya tafiti atagundua chama kimepungua morali lazima kizaliwe upya ili kuwepo na sababu ya wanachama kuendelea kupambana. Hata timu za mpira hufanya hivyo hubadili kocha na wakati mwingine hata uwanja au jezi ili kuleta motisha na ari mpya.
 
Acha majungu. Lissu ndio alifanya watu wakaanza kufuatilia chaguzi za TLS mpaka Leo. Pamoja kwamba zilikuwa zinafanyika huko nyuma. Hilo tu ni impact.
Kwa hiyo anagombea ili aingie kwenye kumbukumbu kwamba chaguzi za chadema zinafuatiliwa?
 
Kwa hiyo utafiti unaonyesha Moral inaletwa na LISU? Aende chama kingine tuone kama hiyo Moral itamfuata na tafiti zenu.

Njia anayotumia ni sawa lakini washabiki mnataka LISU aingie halafu Mbowe apigwe benchi kabisaa, yani mchango wa Mbowe CHADEMA umesahaulika kwa mahaba ya LISU.

Kumbukeni Mbowe naye anawafuasi, wanaweza kumgomea Lisu na asishinde, na atachagua agombee umakamu tena au muhame naye na tafiti, na morali yenu.

Ndio maana kila siku tulikuwa tunamsikia Amosi Makala akisema Mgogoro unaokuja CHADEMA ni mkubwa sana kumbe walijua LIsu atagombea nafasi ya Mwenyekiti wa chadema, na sijui walijuaje ni Msigwa au nayo ni mipango yao CCM?
 
Huna akili
 
Machawa wa Mbowe mtalia na matokeo mtayaona na mtabaki na lichama lenu liwe kama CUF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…